Kikwete ndiye Rais bora zaidi tangu Tanganyika ipate uhuru

Rais bora au rais Boya?
 
Unajidhalilisha
 
Itoshe kusema Tanzania/Tanganyika toka tupate uhuru bado hatujapata Rais bora.
Wote ni wajanja wajanja wa mjini na wenye masrahi binafsi.

Narudia tena, mpaka sasa Tanzania bado hatujapata Rais Mzalendo na ayaeipenda Tanzania kutoka moyoni.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฆ๐Ÿพโ€โ™‚๏ธ๐Ÿง•๐Ÿคฎ
 
Kama kigezo ni ubora wa maisha tuanzie kwa Mkapa, mpaka anaondoka leseni ya biashara ilikuwa unalipia mara moja TU, chukua elfu moja ya Mkapa ulinganishe na ya wakati wa Kikwetr unipe mrejesho ipi ilikuwa na thamani.
 

Upo kifuani kwake ukila pesa zake za mafao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ