Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

maskini mkwere ameshindwa kujibu maswali yani hajielewi nimeshangaa sana kumbe uwezo wake ni finyu kiasi hicho?
 
ameniacha hoi alivyomalizia ... kumbe anajua kuwa propaganda za kidini zilizoletwa na ccm ni bomu ...
 
Amenifurahisha jambo moja: tarehe 31 October 2010 kamchague unayemtaka!

I guess this statement is bigger than it is, ina maana ni kama vile amehakikishiwa ushindi kwa njia yoyote ile!!!!!! How come hotuba nzima hajaomba kura kwa watanzania hata mara moja????????????
 
Yaani closing statement hata haombi kura!!!!!!

Anajua nini amefanya kuzipata, lakini cha muhimu tukapige kura kwa wingi.... yaani kama umemsikiliza alivyozungumzia swala la wizi wa kura utakuwa umeelewa, anajaribu kuwaweka watu watulie waamini hakuna wizi... ndo maana hana shida ya kuomba kura....
 
jk kilaza kweli kweli. Hana lolote ni mweupe kweli upsteaz. Amefurahsha baraza manake hata maswali yaliyoandaliwa na kuulizwa na kina kibonde, bado jk kachemka kusoma majibu alopewa! Duh! Kazi ipo
 
mh jamani kweli tulikosea sana, yule ndo rais wa nchi hii! alikuwa anapiga story na vile vizee au?
 
Being a bright bloke Lenin sits down and furiously starts scribbling away on a master plan to build a can opener. But he faints from hunger before the plans are completed. A sigh of disappointment escapes from everyone's lips.
 
Siku zote hizo alikuwa anajitungia maswali ya kuulizwa. leo ndio kaibuka, kweli kiboko sasa kasema anataka mwalimu mmoja afundishe wanafunzi wengi kwa wakati mmoja kupitia fibre optic cable umeme anao?

kasema serikali ina mpango wa kufundisha walimu wengi zaidi ili kuinua kiwango cha elimu, wachache waliopo sasa wanampa tabu kuwalipa.

eti pia wana mpango wa kutoa huduma za afya kwa e-medicine yaani daktari akiwa marekani anaelekeza mtu anapasuliwa tanzania, wale jamaa wa muhimbili waliopasuliwa vichwa badala ya miguu walikuwa wanapata maelekezo wakiwa na mtaalam hapohapo, hivi wakiwa wanapokea maelekezo kutoka unyamwezini kupitia screen tutapona kwel,i si watatukata shingo kabisa?
 
Wakati kipindi kinafungwa ITV mziki uliokua unapigwa ni wa malaw unaosifia ccm, lakini wakati lipumba alipokua itv juma nature nawenzie mziki wao ulihusu uhamasishaji wakupiga kura wakati siku ya dr slaa wimbo wa mrisho mpoto kuhusu mambo yanayoikabili nchi ndio ulikua wimbo unaoimbwa....Tafakari.
 
kimahesabu ya haraka vicheko vilizidi na utani ukifuatia while other maelezo yalikua ni story witout hitin z point
 
Nimefuatilia mdahalo wa Jk lakini sijamwona kijana hata mmoja ila wazee tu ambao kazi yao ni kusikiliza. This was a joke of a decade ya mdahalo. Hivi wapiga kura wake ni wazee tuu au?. Kumbe ndio maana vyou vikuu wamevifanyia zengwe visipigehe?
 
Back
Top Bottom