Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

:A S angry: This guy should not have been a president at first place.
 
nasikia usingizi.
Vumilia aibu ni ya taifa. manake huyo ndo anakaa Magogoni, na hii coverage kubwa alopewa inaonekana hata nje ya nchi; sijui wanatutizama vipi? Watu wakifikiria aina ya maswali yaliyoulizwa na majibu yanayotolewa; aibu ni kubwa mno.
 
Ujuha mtupu! Inasikitisha sana sikutegemea kama Rais wangu anaweza kuwa na mawazo mgando kama huyu mtu. Hivi tumfanyeje huyu?
 
MAMBO SHWARIIIIIII ...........................MAKOFI

NCHI INA HESHIMA ..............................MAKOFI

KWELI hawa majuha
 
tbc huo si mdahalo ni namna ya kumuuza asiyeuzika jey kei, maana kumuuza jeikei ni ngumu sawa na kuuza kofia ya polisi
 
Siku ile ya tarehe 5.5.2010 akiwa mbele ya wazee wa Dar,JK huku akiwaita wafanyakazai mbayuwayu alitamba akisema ''Mimi ndiye mwajiri wa wafanyakazi,hivyo atakayegoma nitamfukuza kazi'' Mpendwa mfanyakazi nasi wakati wa kutamba umefika,31.10.2010 kwa nguvu zote mbele ya karatasi ya kupigia kura nenda kasitishe ajira yake,mwajiri Dr SLAA ambaye atajali maslahi yako.Tuma ujumbe huu kwa wafanyakazi wote unaowafahamu,okoa taifa lako.Inawezekana!
 
Hivi hakuna mwandisha hata mmoja aliyepinda aulize swali ambalo haliko kwenye desa kama vile familia kupiga kampeni? Nataka kuona mtu mzima anavyopiga ardhi.
 
Acha kutishia watu, watanzania niwapenda amani. CCM ndo italeta vurugu na udini.
 
Back
Top Bottom