Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitaku PM jumanne hivi kukumbusha hii kauli yako
wala mwananchi
ahadi tamu, nzuri na zakupendeza. Mimi nimezipenda... Hivi kweli huyu ni mwandishi wa habari kweli au msoma matangazo?
Masako wa ITV-Asilimia zaidi ya 80 ya watanzania wanategemea kilimo, miaka mitano iliyopita, bado wana matatizo ya masoko na wanauza kwa bei anayotaka mnunuzi. Umefanya nini kuwasaidia, na miaka mingine mitano umepanga kuwafanyia nini?
JK-Tumepanua lilomo cha umwagiliaji, katika ASDP asilimia 75 ya pesa ni za umwagiliaji kuongeza matumizi ya mbegu bora, mbolea, madawa, maofisa kilimo wawafundishe wakulima kanuni za kilimo bora, kuboresha masoko na bei, kuboresha barabara, kuanza safari polepole lkn kwa uhakika kutoka kutegemea jembe la mkono tutumie matrekta.
UniPm ili iweje? Ebo!
Kuna channels kama sita hivi za kibongo zinaonyesha huo utumbo wa kilaza JK. Nimeweka National Geographic Wild. There is something to learn there, rather than listening to Mkwere flushing out uharo.
huwezi kumalizia sentensi?nyambafff
hata uhuru na mzalendo