Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Daraja daraja daraja simiyu simiyu, badala ya kuongeza kura za undecided kwa nilivyomsikiliza amezikosa.
 
Nyuso za waalikwa wake wengi zinaonesha kutukuamini wanachosikia!
 
Eti anachukia Rushwa, wakati amekumbatia TAKUkuURU. Mnamsikia huyu jamaa, hata hamuogopi Mungu.
 
eti suala la rushwa amefanikiwa kwani TAKUKURU wanaofisi kila wilaya!! Tatizo si kuwa na ofisi tatizo ni TAKUKURU kutumika kisiasa zaidi...
 
hivi tuliwezaje kukaa na huyu mtu kwa miaka mitano iliyopita?....ilikuwaje....kwa anayejua
 
..JK alidai hashiriki mdahalo kwasababu ni kutumia muda wake vibaya.

..sasa leo amekurupuka na kujitokeza kwenye redio na luninga.

..swali, ni kwanini hakutumia muda huu kufanya kile ambacho wananchi wamekuwa wakikilia, yaani mdahalo kati yake wagombea wenzake wa Uraisi?

..hata hayo maswali aliyoulizwa hakukuwa na jambo lolote lile jipya alilotuletea.

..binafsi nimejiaminisha kwamba JK anaogopa mdahalo na wagombea wenzake.

..kwa kweli huyu hatufai. mpigie kura Lipumba au Slaa.
 
ahadi tamu, nzuri na zakupendeza. Mimi nimezipenda... Hivi kweli huyu ni mwandishi wa habari kweli au msoma matangazo?

Star TV huyo lakini nadhani anamkebehi siungwana kabisa kumtukana mtu kinamna ha ha ha babio hata hakujua hilo
 
Kuna channels kama sita hivi za kibongo zinaonyesha huo utumbo wa kilaza JK. Nimeweka National Geographic Wild. There is something to learn there, rather than listening to Mkwere flushing out uharo.
 
Inasikitisha ndugu zangu kuona kwamba rais anatumia muda mwingi kuongea nonsense badala ya mambo muhimu ya kitaifa kama ufisadi. huwezi kumwuliza rais maswali rahisi namna hii. Kwanza hawa waandishi wana nidhamu ya uoga hawadhubutu kuuliza habari za Kagoda, meremeta, EPA na ufisadi kwa ujumla. yaani tungependa kujua wale waliolitia doa taifa kama akina Lowassa na Rostam watashughulikiwa vipi ili kuisafisha serikali na kurudisha imani ya watanzania.

Ila tukubali tusikubali, DK wilbrod Slaa amemwacha mbali Jk kwani yeye yuko serious na ni determined kuleta change.

Huyu JK naona ni yale yale kwani majibu yake yamejaa UBABAISHAJI NA UJANJA UJANJA WA KI CCM.

HAMNA KITU HAPA TUTAVUNA MABUA TU HAPA.

CHAGUA SLAA KWA MABADILIKO NA MAENDELEO YA TAIFA
 
Masako wa ITV-Asilimia zaidi ya 80 ya watanzania wanategemea kilimo, miaka mitano iliyopita, bado wana matatizo ya masoko na wanauza kwa bei anayotaka mnunuzi. Umefanya nini kuwasaidia, na miaka mingine mitano umepanga kuwafanyia nini?

JK-Tumepanua lilomo cha umwagiliaji, katika ASDP asilimia 75 ya pesa ni za umwagiliaji kuongeza matumizi ya mbegu bora, mbolea, madawa, maofisa kilimo wawafundishe wakulima kanuni za kilimo bora, kuboresha masoko na bei, kuboresha barabara, kuanza safari polepole lkn kwa uhakika kutoka kutegemea jembe la mkono tutumie matrekta.

Jamani Huyu mtu anaulizwa kuhusu masoko anajibu matrecta. Alipewa majibu kuyakariri sasa anayajibu kwenye maswali ambayo siyo
 
Hivi kama hujui umeahidi nini utatekelezaje? JAMANI mnaukumbuka huu wimbo wenye maneno haya"....MBONA KIGUGUMIZI........" :
 
Naona kikaragosi kibonde eti naye anauliza swali! ha! uzushi mtupu. Pamoja na kupewa desa anajichanganya.

Nilichogundua ni kitu kimoja, walioandaa wanajua kikwete alivyo kilaza, tofauti na prof. Lipumba na Dr. Slaa waliokuwa wanaweza kuchukua maswali mengi kwa wakati mmoja hawa wanamuuliza moja moja maana wanajua uwezo wa kichwa chake kushika mambo ni mdogo sana. Eee mungu pitisha mbali huyu mediocre asirudi madarakani.

We need the president we can be proud of.
 
Kuna channels kama sita hivi za kibongo zinaonyesha huo utumbo wa kilaza JK. Nimeweka National Geographic Wild. There is something to learn there, rather than listening to Mkwere flushing out uharo.

Jipe moyo angalia malizia itakusaidia kuamua jumapili once and forever
 
Back
Top Bottom