Mi nakubali asilimia kubwa ya maswali yalikua mazuri tu na yanayojikita kwenye dira ya maendeleo ukiacha machache ya kipuuzi. Kilichofanya maswali yaonekane kama bomu ni mjibu maswali, the so called 4th president, yaliyokuwa ovyoo hadi wauliza maswali wanashangaa wenyewe japo waliandikiwa hayo maswali. I said from the beginning kuwa hakuna jipya kwa JK wala Lipumba, Dr. Slaa alishamaliza kila kitu na mbaya wasikilizaji waliweka Dr. Slaa as a reference point. Kwa kushindwa kwao kumfunika wamejichimbia kaburi la kisiasa wao wenyewe.
God bless Dr. Slaa
Huo haukuwa mdahalo, bali ni nafasi ya kuuza sura kwa mgombea wa CCM na ndo maana Tv mbao zote zimeonesha tukio hili la upotezaji muda. Mgombea ameshindwa kujibu hata swali kuhusu sura ya serikali anayotarajia kuinda, yaani hata hajui atakuwa na mawaziri na naibu mawaziri wangapi, mikoa atoongeza mingapi n.k. Kwa kweli huyu ndugu hastahili kupata tena nafasi ya kuongoza nchi hii. Akiingia madarakani kwa njia yoyote ile kwa hakika nchi hii itakwenda motoni. Rais wetu anaamini mpaka mashetani.....to be brief i was very disappointed na niliweza kuelewa kwa nini CCM walikataa mdahalo....kwa kweli wangevuna aibu tupu.
babu yangu kanipigia kutoka kijijini ananiuliza kuwa hiyo hapo bold ni pembejeo gani?? hajawahi kuisikia wala kuitumia labda wameuzwa na maafisa uganiMasako wa ITV-Asilimia zaidi ya 80 ya watanzania wanategemea kilimo, miaka mitano iliyopita, bado wana matatizo ya masoko na wanauza kwa bei anayotaka mnunuzi. Umefanya nini kuwasaidia, na miaka mingine mitano umepanga kuwafanyia nini?
JK-Tumepanua lilomo cha umwagiliaji, katika ASDP asilimia 75 ya pesa ni za umwagiliaji kuongeza matumizi ya mbegu bora, mbolea, madawa, maofisa kilimo wawafundishe wakulima kanuni za kilimo bora, kuboresha masoko na bei, kuboresha barabara, kuanza safari polepole lkn kwa uhakika kutoka kutegemea jembe la mkono tutumie matrekta.
Nililiona hili in 100 days za madarakani. wewe ni rais gani anayesheherekea kuwepo madarakani kila mwaka??? Punguani ni tusi baya sana kwa mjingaNasikitika nchi kuendeshwa bila Raisi for the past 5 yrs, na ntasikitika hata zaidi tukiendelea na ombwe hili for the next 5 solid yrs!!
babu yangu kanipigia kutoka kijijini ananiuliza kuwa hiyo hapo bold ni pembejeo gani?? hajawahi kuisikia wala kuitumia labda wameuzwa na maafisa ugani
Unaishi nchi gani?Na umekuja lini Tanzania?Tuache wenye nchi yetu tujadili maana sie ndio tunaoweza kutambua fisadi pasipo kutiwa hatiani.Mbona watuhumiwa wa wizi wa kuku wanaozes Segerea na hamsikiki mkihoji iwapo wameshatiwa hatiani?Ukiona Mtanzania anasapoti CCM ujie aidha ni fisadi au mnufaika wa ufisadi.akina nani hao mafisadi, ambao mahakama imethibtisha wana hatia? huo ndio utawala wa sheria.
Mkuu tusisubiri ushindi, let us work for it at this very time mkuu.Mimi nafikiri kabla ya kesho kutwa Dr.Slaa anahitaji tena mjadala mwingine akiwa Arusha hata kwa kupitia radio kabla ya kwenda Karatu kusubiri ushindi..Mwaka huu hakuna cha kuchakachua wala mjomba wake tunasubiri ushindi tu!
Na wee umekuja kufuata nini humu