Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Jamii kubwa ya Wa tz walikuwa na shauku kubwa ya kupata kile roho inapenda kutoka kwa Dr JeyK (Provided Dr ya hesima ni challenging kuliko ya kawaida). Pamoja na maswali ya bashasha na utiifu toka kwa waulizaji, lakini majibu yake ni dhaifu mno au yanatoka katika swali-I dont think kama hali ya nchi then useme mvua iko geita, ajira useme kufungua vizibo vya bia bar! I certainly become demoralized to this person. Kinana Why this happened?
 
Sheikh Mohamed na Damanywa wanakemea udini Dtar TV huku picha za Chedema zikiwekwa nashani wanatapata tapa sana siku zimeisha na hawawezi kubadili kitu wananchi wameamua
 
Wangemwongezea dakika 20 tu sizani kama yasingetokea ya jangwani
 
Nasikitika nchi kuendeshwa bila Raisi for the past 5 yrs, na ntasikitika hata zaidi tukiendelea na ombwe hili for the next 5 solid yrs!!
 
the time is now,only those who take the supposed risk are doomed to faulu,49 years are enough to dare for a change after such a perfomance,nchi hii ni YETU.
 
hata mimi sijajua kwanini wasiachane na kuchakachua wampe DR silaha nchi, maana naona wamechoka, na wanataka kutuletea utemi.
 
Mi nakubali asilimia kubwa ya maswali yalikua mazuri tu na yanayojikita kwenye dira ya maendeleo ukiacha machache ya kipuuzi. Kilichofanya maswali yaonekane kama bomu ni mjibu maswali, the so called 4th president, yaliyokuwa ovyoo hadi wauliza maswali wanashangaa wenyewe japo waliandikiwa hayo maswali. I said from the beginning kuwa hakuna jipya kwa JK wala Lipumba, Dr. Slaa alishamaliza kila kitu na mbaya wasikilizaji waliweka Dr. Slaa as a reference point. Kwa kushindwa kwao kumfunika wamejichimbia kaburi la kisiasa wao wenyewe.

God bless Dr. Slaa

Mi kwenye ukweli huwa sibanduki, plz usimweke meza moja na Prof. Lipumba, kama Slaa kichuguu, jeykey si ndio atakuwa "kifuu" kama una
 
Huo haukuwa mdahalo, bali ni nafasi ya kuuza sura kwa mgombea wa CCM na ndo maana Tv mbao zote zimeonesha tukio hili la upotezaji muda. Mgombea ameshindwa kujibu hata swali kuhusu sura ya serikali anayotarajia kuinda, yaani hata hajui atakuwa na mawaziri na naibu mawaziri wangapi, mikoa atoongeza mingapi n.k. Kwa kweli huyu ndugu hastahili kupata tena nafasi ya kuongoza nchi hii. Akiingia madarakani kwa njia yoyote ile kwa hakika nchi hii itakwenda motoni. Rais wetu anaamini mpaka mashetani.....to be brief i was very disappointed na niliweza kuelewa kwa nini CCM walikataa mdahalo....kwa kweli wangevuna aibu tupu.
 
Na wee umekuja kufuata nini humu
 
Tutaendesha MDAHALO wa ukweli kwenye SANDUKU LA KURA wakati kila itakayofunguliwa itasoma TIKI kwa DR.Slaa. ACHA HUU MDAHALO WA KUPANGA. nI KM STD SEVEN ANAFANYIWA PAPER. Jamani kwanza inatia huruma saana. Maana hata MACHINGA ANAWEZA KUJIBU VIZURI. Imenimaliza kabisa sikutegemea. Hivi alipoongea na OBAMA alijikanyaga kiasi gani mbona hamtuonyeshi? Sasa kazi moja tu tupeleke mitandao hadi village maana sie wa mjini tunaona mengi, bado wenzetu village hawajamsoma KABWELA :bowl:
 
Masako wa ITV-Asilimia zaidi ya 80 ya watanzania wanategemea kilimo, miaka mitano iliyopita, bado wana matatizo ya masoko na wanauza kwa bei anayotaka mnunuzi. Umefanya nini kuwasaidia, na miaka mingine mitano umepanga kuwafanyia nini?

JK-Tumepanua lilomo cha umwagiliaji, katika ASDP asilimia 75 ya pesa ni za umwagiliaji kuongeza matumizi ya mbegu bora, mbolea, madawa, maofisa kilimo wawafundishe wakulima kanuni za kilimo bora, kuboresha masoko na bei, kuboresha barabara, kuanza safari polepole lkn kwa uhakika kutoka kutegemea jembe la mkono tutumie matrekta.
babu yangu kanipigia kutoka kijijini ananiuliza kuwa hiyo hapo bold ni pembejeo gani?? hajawahi kuisikia wala kuitumia labda wameuzwa na maafisa ugani
 
Nasikitika nchi kuendeshwa bila Raisi for the past 5 yrs, na ntasikitika hata zaidi tukiendelea na ombwe hili for the next 5 solid yrs!!
Nililiona hili in 100 days za madarakani. wewe ni rais gani anayesheherekea kuwepo madarakani kila mwaka??? Punguani ni tusi baya sana kwa mjinga
 
babu yangu kanipigia kutoka kijijini ananiuliza kuwa hiyo hapo bold ni pembejeo gani?? hajawahi kuisikia wala kuitumia labda wameuzwa na maafisa ugani

Hahahahahaha Kweli babu inabidi ahoji maana hizi ASDP ndio ile miradi kama ya agriculture extension. Mradi una magari tena mashangingi VX 10 yako dar moja liko rukwa. moja iringa. sasa sijui dar kuna hekta ngapi za mpunga au mahindi.
 
Mimi nafikiri kabla ya kesho kutwa Dr.Slaa anahitaji tena mjadala mwingine akiwa Arusha hata kwa kupitia radio kabla ya kwenda Karatu kusubiri ushindi..Mwaka huu hakuna cha kuchakachua wala mjomba wake tunasubiri ushindi tu!
 
All comments are good but it'll amount to nothing if you don't make your voice heard. Don't complain tarehe moja kama hutapiga kura
 
akina nani hao mafisadi, ambao mahakama imethibtisha wana hatia? huo ndio utawala wa sheria.
Unaishi nchi gani?Na umekuja lini Tanzania?Tuache wenye nchi yetu tujadili maana sie ndio tunaoweza kutambua fisadi pasipo kutiwa hatiani.Mbona watuhumiwa wa wizi wa kuku wanaozes Segerea na hamsikiki mkihoji iwapo wameshatiwa hatiani?Ukiona Mtanzania anasapoti CCM ujie aidha ni fisadi au mnufaika wa ufisadi.

Your hours are numbered.
 
Mimi nafikiri kabla ya kesho kutwa Dr.Slaa anahitaji tena mjadala mwingine akiwa Arusha hata kwa kupitia radio kabla ya kwenda Karatu kusubiri ushindi..Mwaka huu hakuna cha kuchakachua wala mjomba wake tunasubiri ushindi tu!
Mkuu tusisubiri ushindi, let us work for it at this very time mkuu.
naona baada ya vita ndefu ndugu yetu mwanakijiji anajipumzisha kivulini simwoni tena na cheche za fikra hasa kwenye kipindi hiki kigumu.
 
Back
Top Bottom