kweli huyu jamaa akipita hatuna president hapa
anahutubia wale wazee wa dar es salaam. Sio mdahalo huu.
JK yuko live ITV... Swali la kwanza ameulizwa na mshereheshaji kuwa anaonaje hali ya nchi baada ya kuizungukia takriban majibo yote... akajibu kisanii kuwa atashinda kwa kishindo kwakua wananchi wanahamasa kubwa
swali la pili ameulizwa na susan mungi kuwa anawapigia kampeni wabunge wenye kesi mbaya mahakamani ... Jk anajibu kuwa pengine hao watuhumiwa watashinda kesi...
Swali na tatu ameuli Rainfred masako kuwa 80% ya watanzania wamejiajiri ktk kilimo je ktk miaka mitano iliyopita amewafanyia nini? JK anajibu kuwa vyama vya ushirika vimekufa, na kuwa kilimo cha kutegemea mvua haifai na kuwa amejikita kuwasaidia... serikali itabeba madeni ya vyama vya ushirika!!! inaonekana swali alipewa mapema kwani anaelezea issue za masoko ...
halafu huyu jamaa mbona anajibu km ameshakuwa rais tayari? eti...oooh!! miaka 5 ijayo tutafanya hiki.....!!! si angesema tukipata ridhaa tena tuta..........!! mie simuelewi!!! halafu alivyo mpumbavu katoa hadi siri namna wanavyo iba kura, mara oooh....mawakala wawe waangalifu, data zikiingizwa kwenye computer wazihakikishe za JK zisiongezwe...oooh.....!! yaaani bla bla nyingi, kumbe ndo wanavyotuibia kura zetu ee!!!!
Amenifurahisha jambo moja: tarehe 31 October 2010 kamchague unayemtaka!
Mkuu tusisubiri ushindi, let us work for it at this very time mkuu.
naona baada ya vita ndefu ndugu yetu mwanakijiji anajipumzisha kivulini simwoni tena na cheche za fikra hasa kwenye kipindi hiki kigumu.
wewe.... vita ninavyopigana mimi ni vya mstari wa mbele kabisa! Nijipumzishe wakati ndio tumeingia masaa 48 kabla ya ushindi? sijipendi...? Ukiangaza angaza macho kuanzia J'pili hapo Dar.....
Ndege yab Uchumi... Lini uliukwaa u doktari???Dah! Yaani Jamaa Kajiandalia Maswali halafu akawapa Waandishi wa Habari Wamuulize! They guy is like anawapigia Hadithi Wajukuu Zake LoL!
jamani huyu ndie RAIS wa nchi yenu, anae jisifia kwa kuboresha maisha ya mtanzania alie maskini na anae tarajia nafuu kwa kupata maisha ya baadae kuwa mazuri...
1. rais ni msanii..
2. hana competence katika kujitetea kama rais wa nchi
3. majibu yake hayana umakini na anaonesha kutojiandaa kutetea taifa letu
4. anatoa story badala yakuelezea kinacho takiwa na watanzania