kwa kweli, mmehitimu kozi ya uzandiki, hata hilo hujalisikia?
kwa maendeleo na mabadiliko chagua chadema, tuone kama hiyo amani haitapatikana
Kuna makofi yanapigwa kwa vitu vya ajabu..
Nilikuwa sipendi sayansi - Makofi..
Siwezi hesabu - Makofi
Waulizwa maswali wamepangwa, wengine hawaruhusiwi kuuliza. Mambo yameanza. Kabla hajaanza kujibu, kwanza anacheka.
Suzan Mungi-Style ya kampeni, unawanadi wabunge baadhi ya wananchi wanalalamika unawanado baadhi ya wabunge wenye kesi mahankamani na kesi nzito tu. Wewe unalionaje hili?
JK-Hao ndio nilio nao na ni kweli wengine wana kesi, Hata wakati wa uteuzi kulikuwa na mjadala, lakini tukasema tuhuma si hatia