Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Hivi huyu ZUMBUKUKU mnaendelea kumsilikiza, kwanza angalia AMEKARIRI MAJIBU Halafu ANATETEMEKA hamjamnote jamani. MASWALI YOTE yamepangwa na anasomwa mtu wa KUULIZA swali. JAMANI msiwe wajinga ACHANENI na HUYU MBUMBUMBU , sikilizeni ILA TRH 31 MPIGENI CHINI. hata takwimu zinamsumbua. Et RAIS BUSH amesema atasidia, hivi hilo ni jibu? Huyu HAFAI ACHANENI NAYE. DR. SLAA ni wa ukweli. hata haijui nchi yake. DATA ZA KUPIKA, MASWALI YA KUPIKA, WAULIZAJI WAMEJAZWA MAPESA WAMEPANGWA. Si angeruhusu watu tuulize kwa simu? ACHANENI NA HUYU MTAUMIA JAMANI HAFAI
 
Hawa Waandishi vipi jamani Maswali gani ya Kifa....la wanauliza haya. Pambaf kabisa
 
wamerekani wafundishe sayansi, pepa watatunga wao?
 
TAFITI MBALIMBALI:
eTI CCM itashinda zaid ya asilimia 61 ya synovate
 
Jamani tuulize maswali jamani kuna mambo muhimu sana ya kuuliza sio SYNOVATE,REDET wala sijui huko maana REDET na Mkurugenzi wa REDET ni mshauri wa kisiasa wa JK sasa hapo utapata kitu ni bora unge muuliza mbona ya zanzibar hayakutajwaaaa na huko kulifanyika tafiti
 
Hahahahahaha! wanaotoa fedha za REDET na wale SIno nanii ni wazungu basi haiwezekani kuchakachuliwa du!
 
Hivi swali la Redet au Synovate lilikuwa ni Msingi sana jamani?
 
Sheikh yahya vipiiiii?, mbona jamaa mbona bado tuna muona tviini na siku ndio hizo zinayoyoma! Na ndivyo anazidi kutudanganya, wahi fasta usije ukatanguliwa wewe kuleeeeee! Mungu hadhihakiwi!!!!!!
 
TAFITI MBALIMBALI:
eTI CCM itashinda zaid ya asilimia 61 ya synovate

Siyo zaidi ya 60 ni ndio hapo watakapo shindia tuuu basi nasidhani kama rais anatakiwa endelea kujibu hilo swali jamani khaaa

 
..as long as kunakuwa na maswali ya kijinga-kijinga basi inakula kwa CCM.

..akiulizwa swali zito halafu akabahatisha kutoa jibu zuri, wapiga kura wanaweza kumuona ni mtu wa maana.
 
Yaani kumchagua JK ni kumchagua matonya B. Anatembeza bakuri mpaka kuomba vyandarua eti rais wa nchi...naweza kutapika
 
Nashindwa kuelewa mtu unaenda kumpigia kura raisi anaye kiri udhaifu wake wa ukilaza mbele ya uma na still anaomba ngwe nyingine....anajibu swali kuhusu redet na synovate kizembe..aeleze uhusiano wake na Bana na Mukandala,i hate ths . . . .
 
NAONA ANARUDIA RUDIA UJINGA TU HAPA NASHANGAA KWELI HUYU NDO RAIS WETU :tape:
 
Back
Top Bottom