Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni TV zote zinarusha kasoro TV Tumaini, nimejaribu kuangalia ATN, TBC1, Channel 10, Star TV wapo hewani na haya mahojiano ya aina yake DUNIANI. Yaani wauliza maswali wanajulikana kabla ya mahojiano; cha kufurahisha wengine wao wamejisahau wanayasoma live - mfano swali la kwanza aliyeuliza kalidesa live, swali la pili pia lilikuwa linadeswa kutoka kwenye karatasi iloshikwa mkononi kinamna, Mzee Masako akiwakilisha ITV, naye kinamna alikuwa akichungulia karatasi yake.Mwenye kujua anijuze mbona huu ukumbi umejaa alama za ccm hadi chemba ya mwenyekiti ina nembo ya ccm ni ukumbi wao?
na kulikoni mdahalo huu unarushwa na both chanels, itv na eatv(chanel5)
Nadhani anatakiwa kufanya kama alivyoshauri Mrisho Mpoto kwenye wimbo wake wa Adella.........akimaliza mdahalo aende akayasikilize tena makofi haya ataelewa.
Hivi swali la Redet au Synovate lilikuwa ni Msingi sana jamani?
Desa la hadharani! So funny. Na bado hakuna anachojibu. Hakufanya rehearsal?
Tunacho fanya hapa ni informal pigamizi!Bashe si suala la ufisadi bali matatizo ya uraia wake yangeweza kuhatarisha ugombea wake kwa pingamizi.
Well said, kama hakuna viwanda hakuna maendeleo. Huwezi kuendelea kwa kununua bidhaa kila siku toka nje. Ndio maana bandari ina msongamano wa kuingiza badala ya kutoa. Tutaendelea tuu kuwa soko la wachina. Hakuna mtu anauliza kuhusu viwanda!!! shame on those Journalists...Siri ya kutengeneza ajira ni wawekezaji sio kujenga viwanda vyetu jamani huyu kweli ni karagha bako sijaona tutawategemea watu wa nje sio kuboresha maeneo ya vijana kupewa fursa kama kuchimba madini jamani naishiwa nguvu siamini huyu mjamaa hana dira