Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

hivi kumbe kuna vikundi vya kina mama na vikundi vya wanawake......leo ndio nimejua
 
eti kibonde ndiye anauliza swali na swali lenyewe la kijinga eti ipi sura ya serikali
 
Hivi JK Leo Mpaka aseme mwenyewe kwamba amechoka au, huu mjadala wa Leo very Poor
 
Niliwauliza kuhusu mawaziri wa JK nanndio hilo analiuliza Kibonde(Clouds FM) na rais ajae ni yupi Hilo kidogo ni swali tena la kijanja i can say na linatakiwa kujibiwa kwa kina sana
 
Kibonde eti anataka kujua sura ya serkali ya kikwete ijayo hivi haya ndiyo maswali kweli! kweli! aaaaaaaaaaah
 
Khaaaa Rais mbona anataka kunia abisha tena ati aseme nini tena ???Jamani swali ni gumu eeeeh??
 
namuona Simba na Rupia Machinga complex baba endelea kutengeneza wachuuzi jamani

Umeona eee! Badala ya kuboresha uchumi watu wakawa na uwezo wa kufanya mambo ya nguvu yeye anafikiria spoon feeding na town influx kwa kuvutia watu kuja mijini. Ole wetu hali ikiwaendea vibaya ni roba za mbao tu!
 
Serikali ijayo kutumia zaidi teknolojia sio kuiweka serikali iwe adilifu ,wajibikaji na isiyofuja raslimali jamani baba wee mbona unatuzuga na kutugeuza sisi madondocha
 
Duh huyu jamaa analipia madeni ya mashirika yaliyochakachuliwa na washirika wake bila kusema amewachukulia hatua gani? Ila amelisahau shirika la wanafunzi tuliosoma vyuo vikuu tunamwomba nasi atulipie madeni yetu bodi ya mikopo ili na wadogo zetu wakopeshwagee etii eeh!
 
HAYA MASWALI AMEANDALIWA, CAUSE ANASOMA, yaaaaaaaaaaa ANADESA, rais mwenye IQ ndogo, anachekacheka ovyooooooooo
 
jamani huyu ndie RAIS wa nchi yenu, anae jisifia kwa kuboresha maisha ya mtanzania alie maskini na anae tarajia nafuu kwa kupata maisha ya baadae kuwa mazuri...

1. rais ni msanii..
2. hana competence katika kujitetea kama rais wa nchi
3. majibu yake hayana umakini na anaonesha kutojiandaa kutetea taifa letu
4. anatoa story badala yakuelezea kinacho takiwa na watanzania
 
Mbona ni swali alilo liongelea Asubuhi hili ??? siye twataka mtazamo wa nchi mean mikakati ya CCM ki serikali na kiutendaji na kipaumbele kipi??

Hii ya SEACOM haituuuhusi hiyo ni lazima iwepo jamani
 
hivi kumbe kuna vikundi vya kina mama na vikundi vya wanawake......leo ndio nimejua

Mamii hata mie nimeshangaa yale yaleee ya ...tunaangalia mahitaji ya vulnerable groups lakini pia hatuwezi kuyaweka kando mahitaji ya watoto yatima na watu wenye ulemavu lol
 
passport kwa katibu kata ataweza wakati shule tu zimemshinda?
 
Back
Top Bottom