Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Kanikela sana juu ya ajira anatayarisha watanzania kuwa wamachinga na wafunua vizibo. Tutaleeeeeeeeeeewa hadi ...........!!!!!!!!!:y

bora slaa atakaye kula mihogo ikulu bana.
 
Oooohoooo, ndio maana amemwambia maghembe afute kufaulu darasa la saba ili jamaa apate wenzake wa kuandaliwa maswali na majibu na watu kutoka nje ya nchi! warning! bisenezilisheni hii ya elimu ni hatari kwa maendeleo ya watanzania.
 
Jamani hivi ninyi mlitaka aulizwe maswali gani?

Kaulizwa swali la taswila ya nchi ya serikali yake ijayo. means miaka 5 ijayo kajipanga vipi na wizara zake kwa urahisi nikusaidie kuelewa

 
How come maswali na majibu ya asubuhi na sasa yanafanana????????????
 
Jamani mnawaona hawa wageni wakaribishwa????????????? Kumbuka siku ya wafanyakazi!!!!!!!!!!!!! Wengine wanasali sijui wana presha ya nini ?
Huyo aliye karibu na Iddi Lion??:yield::yield::yield::yield::yield::yield:
 
Kwani wananchi wengine hawapo?? Mbona ni hawa waandishi tu walioandaliwa? Mods tunaomba ruksa tuonyeshe jazba zetu hapa??
 
Jamani hivi ninyi mlitaka aulizwe maswali gani?
1. Yeye ni kiongozi mkuu wa serikali, moja ya mihimili ya utawala. Anapopita kuwatangaza watuhumiwa walioko mahakamani kama wachapa kazi haoni kuwa itaiwea vigumu mhimili mwingine wa dola, yaani mahakama, kuwahukumu ipasavyo watuhumiwa hao?
2. Ameongoza kwa miaka mitano, watanzania wote wanamfahamu, kwa nini kumekuwa na picha nyingi kubwa kwenye mabango nchi nzima zikimtambulisha yeye?
3. Mabadiliko makubwa ambayo nchi hii inayahitaji yatatekeleza kwa urahisi iwapo kutakuwa na katika inayoendana na wakati kwa sababu iliyopo ilitungwa zamani sana na bila kushikirikisha wananchi. Kwa nini CCM na serikali zimekuwa hazitaki kuandikwa kwa katiba mpya? n.k n.k n.k

Ndugu yangu, kuna mengi sana ya kuuliza
 
Hivyo vitambulisho vya uraia tangu 1986 hadi leo ni AHADI HEWA. Hivi TBC hamna kipindi cha kuonyesha hebu zimeni hiyo MDHALO ULIOCHAKACHULIWA.
 
Bora nikawahi kuongea na my wife...nawatakieni upotezaji muda mwema. Ila kama watoto wake wamerithi genes hii ya ukilaza ni hatari. Usiku mwema. Kesho kijijini tayari kupiga kura maana ameshindwa kunishawishi
 
HAYA MASWALI AMEANDALIWA, CAUSE ANASOMA, yaaaaaaaaaaa ANADESA, rais mwenye IQ ndogo, anachekacheka ovyooooooooo

Kisha anajifanya anaongea na kigugumizi pozi la nini kama point hamna hamna tu!!
eti uwekezaji kufungua bar makaburini??? This is a joke ndio maana hajui kwanini tanzania ni maskini.
 
Kwani wananchi wengine hawapo?? Mbona ni hawa waandishi tu walioandaliwa? Mods tunaomba ruksa tuonyeshe jazba zetu hapa??

Umenifanya nicheke hapa wakati nilipanga kununa mpaka Jumapili
 
Anasema, anataka tumkumbuke, TUTAKUKUMBUKA, KWA MAISHA KUWA MAGUMU, wala usiwe na WACWAC na hilo
 
Huyu jamaa simuelewi kabsaa, anasema mradi wa vitambulisho unaonekana ni mradi wa watu wachache!!! hapa tulipokaa kila mtu kagadhibika utadhani tunakunywa gongo
 
sasa hilo ndio swali wakuuu ID kwa watanzania ??

Nasio atuongeleee SEACOM huku ID's bado hazija kuwepo?

Inamaana hao waliopita ndio walaumiwe kweli na umekubali mapungufu na sasa umekubali kweli haitekerezeki na tupe majibu sasa?? Mafisadi wameteka hizo tenda

As a president u've the final call jamani huyu JK anataka kuniangusha hapo mbona inamaana huna ka group ka watu wakafuatilia hiyo ISSUE ya ID's wakupe data za kutosha?
 
Back
Top Bottom