Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Amekiri walikula rushwa kwa wanaolobby kutengeneza vitambulisho
 
How come maswali na majibu ya asubuhi na sasa yanafanana????????????
Hapo ndipo utaelewa ni kwanini Afrika ni Afrika, na kila iitwapo leo umasikini unaongezeka kama moto uwakao kati ya nyasi kavu. Haya mahojiano yatakuwa ya historia kote Duniani.
 
....LABDA atokee shetani" mmmhhh nimecheka sana kumbe kweli anaamini haya mambo eehh
 
Duuuu IQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQQ Ndooooooooooooooooooooooooooooonggggggoooooooooooooooooooo:doh::doh::doh:
 
Wapiga makofi wamechomekwa kwa kutawanywa ili wastimulate majirani zap kupiga makofi
 
Wapi dr.rwaitamaaaaaaaaaaaaa. Mwanachama mfu wa sisiemu? Duh but bora hata hujaenda nnavyokujua ungelia kwa majibu haya ya uongo na mepesi, hicho kipara chako kingeota nywele palepale kwa uongo huu.
 
tupe % yetu ngapi kwa madini yetu sasa je ni 3% au 40%??
 
Mnamsikia juu ya madini Jamani mpaka wazungu wamalize kuiba ndipo washtuke!!!!!!!!!
 
Anakiri udhaifu kushuhulikia vitambulisho vya taifa
Kisha anakiri eti kuna watu wachache walikua wana mtafaruku wa kimaslahi katika hili swala. Je amelimalizaje hilo swala??? Aliwachekea tu kisha akabadili mfumo??
Weekness kubwa sana kwenye management.
 
hIVI JAMANI MDAHALO hata mwogozaji naye anauliza maswali? jamani ambao hamuoni TBC sasa ni kichekesho tu. Hakuna kitu ETI PREZIDENT ANMASEMA MRABAHA? NA SIYO MRAHABA! anachanganyikiwa . Bora ambao hamjaona hiki kipindi ni KAM KICHEFUCHEFU CHA ZE ORIGINO COMEDY!
 
heeee heeee kweli kakubali yeye ni MKWERE wa Bagamoyo kashindwa kutamka mrabaha na mrahaba, hajui kutamka sasa atadaije???
 
Amekiri kwamba yeye ni mkwere kwa maana kwamba hajui mambo ya kitaalamu kwenye madini
 
Back
Top Bottom