Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Sheria anayojitapa imeeleza kabisa kuwa haitaadhiri mikataba iliyopo so ni mingapi ambayo itaendelea kutuathiri kwa muda mrefu??

Only 4% ya madini yetu inachangia kwenye GDP mnajua hata wazungu wenyewe wanatushangaa???? Kwa nini tusiige walichokifanya Botswana>> Jamani ah
 
Anajibu kama rais si kama mgombea. Hazungumzii issues za umaskini, hafafanui elimu ya manufaa (kujitegemea), wala hazungumzii umaskini. Kwango mimi amenibore hana issues
 


Idadi ya vijana katka huo mkutano ni 30% na wazee ni 70% sasa wapiga kura wake ni vijana au wazeee, the reality ni 70% ndio ni vijana ambao ndio wapiga kura hawajapewa nafasi ya kuuliza humo ndani

rais ndio anachagua wafanyakazi wa vituo vya TV? kosa la vituo kupeleka waandishi wazee
 
Waalikwa wengi wanaonesha Usoni kwamba hawavutiwi na JK anavyojibu maswali. Inaonekana hawatampigia kura
 
Malaria Sugu yuko wapi akaokoe jahazi la mkwere linazama....
 
Waandishi wa habari Tanzania ni WANAFIKI SANA, MUNGU WAONGEZEE DHIKI NA NJAA MARA DUFU.

Swali ni mmoja tu lile la Kibonde (Kutaka kujua taswila ya nchi ya kipindi chake kijacho cha miaka 5 ni ipi na hakujibu akabaki anateteleka na nikisikia kibonde akijisifu lilijibiwa vyema mtamkosoa hiyo J3 kipindi cha jahazi)
 
Follow up ya jibu la jk kuhusu watuhumiwa wa ufisadi ilibidi liwe kama akina mramba, lowassa na chenge ni tuhuma tu
je ilikuwaje wamtoe mwakalebela kwa tuhuma wakati bado hajatiwa hatiani?? Uoni hiyo ni double standard??
 
Hivi wakati Obama anatoa Speech wakati akiwa mgombe Kikwete hakua anaangalia ili apate strategies za kutumia??
Swala la muda mpaka akumbushwe??
Aisee aibu sana muda mwingi anachakachua point tu badala ya kujibu short and clear and create room for more questions ili aweze kujibu madukuduku ya wapiga kura.
Hii kwakweli ni kujidangaja kwa sababu matatizo ya kweli ya raia kwa staili ya kuchagua maswali ya kuulizwa huwezi kuyajua hatasikumoja.

This is just like being a graduate wa full kudesa there is no any element of inovation.

Mungu ibariki Tanzania tusiendelee kuwa na vilaza ambao wanakubalika bila sababu za msingi.
 
Ukitaka kujua kuwa maswali yameandaliwa, JK huwa hawezi kuwa na data kichwani hizi za madaktari bingwa katoa wapi kama hajajiandaa?
 
sijapenda hata kidogo anavyotetea sera yake ya kuwanadi watuhimiwa wanaogombea ubunge wakati wana kesi mahakamani boring :tape:

:tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape: msifanye makosa wandugu kwa kupoteza kura zenu😛eace:
 
na bado kuna watanzania wenye akili timamu na watampigia kura kisa tu ni ccm mwenzao au kwa woga wakupoteza kazi zao...
 
Malaria Sugu yuko wapi akaokoe jahazi la mkwere linazama....

Hata mimi naweza kuokoa jahazi ila nina wanafki wangu pale Y.Makamba, A.Kinana na Kingunge ndio wanafki hawato kubali mie nisimame kwani nita waambia its over ni wastep down effectively from that point
 
Jamani hawa waalikwa oh soory, nyie wajumbe wa sisiemuu makofi mnayopigaa ni kutoka rohoni!!!! Au mnatarajia vyeo kutoka kwake, kazaneni kupiga manake huyo jamaa atawapa kweli kama alivyofanya kwa kina sarah dumba na betty mkwassa.
 
sijapenda hata kidogo anavyotetea sera yake ya kuwanadi watuhimiwa wanaogombea ubunge wakati wana kesi mahakamani boring :tape:
Uko sahihi hivi Kama Mwenyekiti wa chama anasema hawana njia ya kushughulikia matatatizo je Mbona CCM ilihukumu watu sio raia wakanyimwa nafasi za ubunge. Hawakuwapa nafasi uhamiaji kwanza.???!!! Serikali yake mwenyewe ndo imewapeleka mahakamani. Ina maana serikali iliridhika wana tuhuma. Kama serikali ilikuwa haina uhakika si angetulia nao tu hao kina mramba na chenge kama alivyofanya mwenzake mkapa.

Baba/mama mwenye nyumba atashindwaje kumpunish mtoto wake mwenyewe anayeamini ana kosa eti kwa kisingizo yeye sio mahakama. Kama mzazi wa chama JK alikuwa na uwezo wa kuwaweka pembeni.

JK ameonyesa yeye ni Comedian. Hajui maana ya kuwa mwenyekiti wa CCM.
 
Back
Top Bottom