Kaanza hadithi za sungura na fisi....HAJAFUNDISHWA ku-summarize mambo, halafu yeye kwake maisha ni nje tu!!! kaitaja India kule alikoleta IT specialist! kaitaja China kuwa itatusaidia kujenga hospitali kaitaja na marekani kuwa wataleta madaktari toka huko!! hajataja watanzania wangapi watakua specialist
Nimecheka ile ya E medicine jamani hospitali zinashindwa hata gloves syringe hata pamba na gauze hazipo anasema mtu yuko north caroline harafu anadirect operation huku mi nadhani awaomde samahani madaktari wetu anataka kusema hawana uwezo awape vifaa aone watakavyofanya
Hivi wangapi humu mlimshangilia na kumpigia vigeregere huyu jamaa mwaka 2005 na sasa mmemgeuzia kibao? Sielewi kabisa kwa sababu jamaa siku zote ni kilaza na baadhi mnakuwa kama mmegundua jamaa ni kilaza ktk miaka 5 iliyopita
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.