Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Anajisifia misaada ya cinic ya meno MUHAS, duh? hajajibu swala kabisa
 
Kibonde aliuliza swali amepanic halafu limeacha kujibiwa kibonde anajichekesha chekesha tu. Mnafiki mjinga
 
Kaanza hadithi za sungura na fisi....HAJAFUNDISHWA ku-summarize mambo, halafu yeye kwake maisha ni nje tu!!! kaitaja India kule alikoleta IT specialist! kaitaja China kuwa itatusaidia kujenga hospitali kaitaja na marekani kuwa wataleta madaktari toka huko!! hajataja watanzania wangapi watakua specialist
 
Heri huu mdahalo umerushwa na vyombo vingi vya habari nchi nzima ili watu wajionee mgombea anayeomba kipindi kingine.
Wampime na waamue.

Ama kweli anahitaji kupumzishwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nimecheka ile ya E medicine jamani hospitali zinashindwa hata gloves syringe hata pamba na gauze hazipo anasema mtu yuko north caroline harafu anadirect operation huku mi nadhani awaomde samahani madaktari wetu anataka kusema hawana uwezo awape vifaa aone watakavyofanya
 
Hivi Misaada ya kuomba ni ya kujengewa majengo au Vitendea kazi na Knowledge? au???
 
Kila kitu ni msaada marekani, mama wa kimarekani, china ....wanatuletea...when are you training yours mr zero?
 
kwanini wasiwawezeshe Tanzania Heart Institute? Yule mchaga kajitahidi mwenyewe lakini wanamfumbia macho.
 
Kila anachozungumza kuhusu afya ni msaada, je wakiacha itakuwaje?
 
[QUOTE=Ro

munamuona kinana alivyokata tamaa!!!!!!!!!!!!!!
 
Jamani hao wazee watarudije makwao kwa usafiri gani usiku huu?
 
Hivi wangapi humu mlimshangilia na kumpigia vigeregere huyu jamaa mwaka 2005 na sasa mmemgeuzia kibao? Sielewi kabisa kwa sababu jamaa siku zote ni kilaza na baadhi mnakuwa kama mmegundua jamaa ni kilaza ktk miaka 5 iliyopita
 
Back
Top Bottom