Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Elections 2010 Kikwete on ITV, maswali na majibu toka kwake

Eti kwa kutumia mtandao mwalimu mmoja wa Sekondari anaweza kufundisha wanafunzi wote nchi nzima hii sidhani kama hata USA inawezekana...
hamna hiyo ,siyo kwa nchi nzima ila kwa selected parties.
 
Wapiga makofi wamechomekwa kwa kutawanywa ili wastimulate majirani zap kupiga makofi

Idadi ya vijana katka huo mkutano ni 30% na wazee ni 70% sasa wapiga kura wake ni vijana au wazeee, the reality ni 70% ndio ni vijana ambao ndio wapiga kura hawajapewa nafasi ya kuuliza humo ndani

 
Jamani huyu jamaa ni sifuli. Uswahili mwingi! Lol hatuna kiongozi hapa!
 
Ila jamani...siamini kiwango hiki cha kujibu maswali ni cha presida wetu. Inasikitisha sana. Afu hana confo kabisa. Nini kimempata mkulu wetu? Hebu wekeni ushabiki...mnijibu kwa hekima.
 
Guy is so poor, I am trying to hide myself under the chair...

Rais hajui hata mrahaba ni nini? Eti mrabaha sijui nini... Kama hajui hata anachokiongea, je anaweza kukisimamia... takwimu hazikai kichwani....

Kakwepa kujibu Richmond....

Kakumbushwa kuhusu kutumia muda mfupi kujibu maswali... Jamaa anachemkaaaa.... "eti usinifunge gavana"... "maana ntaonekana kama nababaisha"

Tumeliwaaaaaaa..... Kura kwa SLAAAAAA
 
Wangeacha kumwuliza rais wangu jamani mbona wanamwaibisha hivi? Ona sasa wanampunguzia kura. Watu wanagutuka na kushangilia toka usingizini. Hadi sasa sijui topic ni zipi....jamani si wamalize tumpatie kishindo?
 
tungependa aje dr lwaitama amuombe atatutoe wasiwasi sisi wana ccm wafu juu ya serikali ijayo ya slaa..kwi! kwi! kwi!

Kwasababu Mzee wako ameuzIwa nyumba O'bay? Sisi Mzee wangu aliwapisha nyie mkahamia Huko... Lazima ZIRUDI...
 
".....naogopa kuambiwa nimebabaisha katika majibu yangu ndio maana najibu kwa kirefu" mbona anajistukia?
 
Kinana anapata presha jinsi mgombea wake anabyojikanyaga. Anaonekana Kama anataka kumsaidia!
 
Waandishi wa habari Tanzania ni WANAFIKI SANA, MUNGU WAONGEZEE DHIKI NA NJAA MARA DUFU.
 
Back
Top Bottom