Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anampa pipi wakati mtoto hajala lunch!!Kaazi kweli kweli!
Mkuu leornado najaribu kusoma picha hii naona nikama alikuwa kijijini na sio barabara za mjini.Maana kwenye background kunaonekana magari kadhaa yamepark,wanafunzi na majengo machakavu yalioezekwa kwa nyasi.Mimi swali langu iwapo picha hii imechukiliwa akiwa kijiji pengine mara baada ya kikao na wanakijiji kunatatizo gani kwa raisi kuonyesha upendo wake kwa watoto?
This is our presdaa, kuna shughuli nyingine kama raisi naona haifai kuzifanya. Sasa huku sio kuhimiza omba omba washamiri mijini halafu wanaingia gharama kuwarudisha makwao? Si mbaya Kkiwete kugawa pipi ila afate utaratibu.
[/QUOTE
Hon. kikwete hakupaswa kumpatia pipi huyu mtoto badala yake alipaswa kumchukua na kuanzishia huduma stahili huu ni mfano mbaya-Hon. JK avoid cheap popularity
Mkuu leornado najaribu kusoma picha hii naona nikama alikuwa kijijini na sio barabara za mjini.Maana kwenye background kunaonekana magari kadhaa yamepark,wanafunzi na majengo machakavu yalioezekwa kwa nyasi.Mimi swali langu iwapo picha hii imechukiliwa akiwa kijiji pengine mara baada ya kikao na wanakijiji kunatatizo gani kwa raisi kuonyesha upendo wake kwa watoto?
Hapa wakuu tuangalie kidogo lakini, inaonekana kabisa mkulu wa kaya hakuwa barabarani hapa ni kama ndio anamaliza ziara au ndio anafika kuhutubia, kugawa pipi sio ishu sana maana pengine aliona ndio njia ya kuonesha upendo wake kwa huyo mtoto na yeye inawezekana alishawaahidi wakazi wa hapo kuwaletea maji au pembejeo vitu ambavyo pengine yeye aliona ni muhimu na vitawaokoa badala ya kutoa lunch kwa mtu mmoja moja kama wajumbe wengi walivyoshauri ila swali kwa kweli linabaki mkulu alipataje pipi kwenye Gari? au huwa anapita anamumunya na yeye njiani?