Kikwete:Onyesha Upendo wako....

Kikwete:Onyesha Upendo wako....

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1,529
Reaction score
198
This is our presdaa, kuna shughuli nyingine kama raisi naona haifai kuzifanya. Sasa huku sio kuhimiza omba omba washamiri mijini halafu wanaingia gharama kuwarudisha makwao? Si mbaya Kkiwete kugawa pipi ila afate utaratibu.
 
Uwezo wa Kikwete wa kufikiri ni mdogo kwa mtu wa level ya urais.
 
Anampa pipi wakati mtoto hajala lunch!!Kaazi kweli kweli!
 
Anatakiwa ashitakiwe kwa rushwa na unyanyasaji wa kijinsia.
 
SHORT AND CLEAR; Kikwete anadhani maisha aliyonayo yeye ya huko Ikulu pamoja na kusafiri mara kwa mara nje ya nchi ndio maisha waliyonayo Watanzania wote
 
Anampa pipi wakati mtoto hajala lunch!!Kaazi kweli kweli!

Yaah u touch where the truth lies, inaumaaa sana, mtoto anaonekana na njaa ya chakula no question, then unampa pipi?
 
This is our presdaa, kuna shughuli nyingine kama raisi naona haifai kuzifanya. Sasa huku sio kuhimiza omba omba washamiri mijini halafu wanaingia gharama kuwarudisha makwao? Si mbaya Kkiwete kugawa pipi ila afate utaratibu.

Mkuu leornado najaribu kusoma picha hii naona nikama alikuwa kijijini na sio barabara za mjini.Maana kwenye background kunaonekana magari kadhaa yamepark,wanafunzi na majengo machakavu yalioezekwa kwa nyasi.Mimi swali langu iwapo picha hii imechukiliwa akiwa kijiji pengine mara baada ya kikao na wanakijiji kunatatizo gani kwa raisi kuonyesha upendo wake kwa watoto?
 
Hataukatai Raisi kugawa pipi kama ndio jukumu lake akiwa kama raisi wa JMT. Kwa nini hakufata utaratibu maalum manake hii haina tofauti na kuhamasisha shughuli za omba omba ambazo zimekuwa kero kwa majiji makubwa na kuchochea vibaka wakijidai omba omba.
Pia hii inaonyesha dharau kwa watu wa kima cha chini.
Tusimsapoti raisi kwenye kila ishu maana zingine anajivunjia heshima na kuonekana kimasihara zaidi.
 
Simple, wabongo hamna kheri kama jiwe, likikuangukia balaa ukiliangukia balaa pia. Just for assumption, he was trying to be Father X-mas, whats the big deal?
 
This is our presdaa, kuna shughuli nyingine kama raisi naona haifai kuzifanya. Sasa huku sio kuhimiza omba omba washamiri mijini halafu wanaingia gharama kuwarudisha makwao? Si mbaya Kkiwete kugawa pipi ila afate utaratibu.

Bado hujajali hapo Mkwele,,, kama umeguswa na hari hii tafadhari okoa hao watoto wa mitaani wajengee mazingira mazuri,,, tatizo mkwele unapenda sana sifa uonekane mwema kwa mambo madogo kama hayooo. We are tired with u,,, hayo ni mambo ya misifa kina dully.
 
jamani kwani huyo alienda kwa nia ya kuomba nani kati yetu anamjua huyo ni nani na wazazi wake huenda alikwenda kwa ajili ya salamu tu na ndio hiyo pipi ndio msaada pekee alioutoa
 
This is our presdaa, kuna shughuli nyingine kama raisi naona haifai kuzifanya. Sasa huku sio kuhimiza omba omba washamiri mijini halafu wanaingia gharama kuwarudisha makwao? Si mbaya Kkiwete kugawa pipi ila afate utaratibu.
[/QUOTE

Hon. kikwete hakupaswa kumpatia pipi huyu mtoto badala yake alipaswa kumchukua na kuanzishia huduma stahili huu ni mfano mbaya-Hon. JK avoid cheap popularity
 
Mkuu leornado najaribu kusoma picha hii naona nikama alikuwa kijijini na sio barabara za mjini.Maana kwenye background kunaonekana magari kadhaa yamepark,wanafunzi na majengo machakavu yalioezekwa kwa nyasi.Mimi swali langu iwapo picha hii imechukiliwa akiwa kijiji pengine mara baada ya kikao na wanakijiji kunatatizo gani kwa raisi kuonyesha upendo wake kwa watoto?

Hapa wakuu tuangalie kidogo lakini, inaonekana kabisa mkulu wa kaya hakuwa barabarani hapa ni kama ndio anamaliza ziara au ndio anafika kuhutubia, kugawa pipi sio ishu sana maana pengine aliona ndio njia ya kuonesha upendo wake kwa huyo mtoto na yeye inawezekana alishawaahidi wakazi wa hapo kuwaletea maji au pembejeo vitu ambavyo pengine yeye aliona ni muhimu na vitawaokoa badala ya kutoa lunch kwa mtu mmoja moja kama wajumbe wengi walivyoshauri ila swali kwa kweli linabaki mkulu alipataje pipi kwenye Gari? au huwa anapita anamumunya na yeye njiani?
 
teh teh teh teh teh....kweli hilo ni swali jamani!?? ama yeye hana mdomo...unaonuka ufisadi, lazima atembee na kisafisha kinywa! kwanza hapo moyoni anawaza hawa watoto wananimalizia pipi zangu tu!!!!
hahaha umenichekesha sana mdau...
 
Back
Top Bottom