#COVID19 Kikwete peke yake alivaa barakoa mbele ya Hayati Magufuli kwenye hafla za Kitaifa, Je Wengine waliufyata au hawakujua kuna UVIKO-19?

seedfarm

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
260
Reaction score
2,655
Picha hapa chini inaonyesha jinsi watanzania ni ndumila kuwili isipokuwa Kikwete Yeye alisimama na barakoa yake tena ile Babu kubwa N95

Hakuna Waziri wala wasaidizi wa hayati Magufuli walijaribu kuvaa barakoa kwenye mikutano yake

Wakatoliki na baadhi ya waumini walivaa barakoa wakati wa Misa lakini hayati Magufuli alitumia kanisa la St. Peters kutaka kujibu mapigo mbele ya waumini kuwa wasivae barakoa

Hotuba ya Padre Kitima ambaye ni Katibu wa baraza la maaskofu katoliki ilimuuma sana JPM aliposema wazi korona ipo na mapadri na masista wanakufa

Kikwete hakukubali mtu mmoja kuwa msemaji wa Taifa Katika kila kitu ikiwemo magonjwa kama korona, Alivaa barakoa na kusimamia anachokiamini

Screenshot_20220115_102421_com.quoord.jamiiforums.activity.jpg

Wengine wameanza kuvaa barakoa baada ya Magufuli kutwaliwa

Hata Leo wanafiki wanajipendekeza kwa Mama Samia na kucheza na mdundo wake lakini siku akigeuka tu hataona mtu nyuma yake ingawa sasa wanasema Mama kopa pesa za kutosha tupo pamoja na deni ni himilivu
 
COVID 19 Haipo
Tuchape Kazi Tukimtanguliza Mungu Mbele
Hili Pepo Tutalishinda Kwa Maombi Tu
Sasa Ijumaa, Jumamosi Na Jumapili
Tutamshukuru Mungu Kwenye Ibada Zetu, Tumeshinda Ndugu Zangu
By Mzilankende Mnyago
 
Huyo Kikwete mwenyewe inawezekana alivaa barakoa kwasababu anajua ameshastaafu hatafuti mkate tena, kama angefanya hivyo enzi za ujana wake wakati akitafuta kwenda ikulu kwa kila njia ndio ningeuamini huo msimamo wake.
 
Yalikuwa yanatengenezwa mazingira mazuri ya "kuukabili" ugonjwa. Hapa lazima uwe na jicho la tatu kuniona ... hahaha haaaa! Oooohohooooo!! Hihihihiiiiii.He he he heeeee!!!
 
In

Inafikirisha !! Wazee wa conspiracy !!! Duh !
 
Conspiracy ni neno lililoasisiwa na vyombo vya usalama marekani kufitinisha wapinga uovu wa vyombo vya usalama na siasa vya nchi hiyo.

Ni neno zuri linalotumika kuua hoja na haiba ya mtoa hoja.
====
Ugonjwa umekabilika chanjo tunazo na barakoa twa vaa. Wewe tumia jicho lako la tatu tu vizuri.
 
Picha hapa chini inaonyesha jinsi watanzania ni ndumila kuwili isipokuwa Kikwete Yeye alisimama na barakoa yake tena ile Babu kubwa N95

Hakuna Waziri wala wasaidizi wa hayati Magufuli walijaribu kuvaa barakoa kwenye mikutano yake

Wakatoliki na baadhi ya waumini walivaa barakoa wakati wa Misa lakini hayati Magufuli alitumia kanisa la St. Peters kutaka kujibu mapigo mbele ya waumini kuwa wasivae barakoa

Hotuba ya Padre Kitima ambaye ni Katibu wa baraza la maaskofu katoliki ilimuuma sana JPM aliposema wazi korona ipo na mapadri na masista wanakufa

Kikwete hakukubali mtu mmoja kuwa msemaji wa Taifa Katika kila kitu ikiwemo magonjwa kama korona, Alivaa barakoa na kusimamia anachokiaminiView attachment 2081951View attachment 2081952

Wengine wameanza kuvaa barakoa baada ya Magufuli kutwaliwa

Hata Leo wanafiki wanajipendekeza kwa Mama Samia na kucheza na mdundo wake lakini siku akigeuka tu hataona mtu nyuma yake ingawa sasa wanasema Mama kopa pesa za kutosha tupo pamoja na deni ni himilivu
Kikwete alikuwa hamuogopi magufuri.

"Wanasema hachomio hachomoi... kwani mimi nimechomeka wapi?"
#Kikwete
 
Conspiracy ni neno lililoasisiwa na vyombo vya usalama marekani kufitinisha wapinga uovu wa vyombo vya usalama na siasa vya nchi hiyo.

Ni neno zuri linalotumika kuua hoja na haiba ya mtoa hoja.
====
Ugonjwa umekabilika chanjo tunazo na barakoa twa vaa. Wewe tumia jicho lako la tatu tu vizuri.
Well !!
 
Picha hapa chini inaonyesha jinsi watanzania ni ndumila kuwili isipokuwa Kikwete Yeye alisimama na barakoa yake tena ile Babu kubwa N95

Hakuna Waziri wala wasaidizi wa hayati Magufuli walijaribu kuvaa barakoa kwenye mikutano yake

Wakatoliki na baadhi ya waumini walivaa barakoa wakati wa Misa lakini hayati Magufuli alitumia kanisa la St. Peters kutaka kujibu mapigo mbele ya waumini kuwa wasivae barakoa

Hotuba ya Padre Kitima ambaye ni Katibu wa baraza la maaskofu katoliki ilimuuma sana JPM aliposema wazi korona ipo na mapadri na masista wanakufa

Kikwete hakukubali mtu mmoja kuwa msemaji wa Taifa Katika kila kitu ikiwemo magonjwa kama korona, Alivaa barakoa na kusimamia anachokiaminiView attachment 2081951View attachment 2081952

Wengine wameanza kuvaa barakoa baada ya Magufuli kutwaliwa

Hata Leo wanafiki wanajipendekeza kwa Mama Samia na kucheza na mdundo wake lakini siku akigeuka tu hataona mtu nyuma yake ingawa sasa wanasema Mama kopa pesa za kutosha tupo pamoja na deni ni himilivu
Magufuli hakuwahi kukataza kuvaa barakao
 
Back
Top Bottom