seedfarm
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 260
- 2,655
Picha hapa chini inaonyesha jinsi watanzania ni ndumila kuwili isipokuwa Kikwete Yeye alisimama na barakoa yake tena ile Babu kubwa N95
Hakuna Waziri wala wasaidizi wa hayati Magufuli walijaribu kuvaa barakoa kwenye mikutano yake
Wakatoliki na baadhi ya waumini walivaa barakoa wakati wa Misa lakini hayati Magufuli alitumia kanisa la St. Peters kutaka kujibu mapigo mbele ya waumini kuwa wasivae barakoa
Hotuba ya Padre Kitima ambaye ni Katibu wa baraza la maaskofu katoliki ilimuuma sana JPM aliposema wazi korona ipo na mapadri na masista wanakufa
Kikwete hakukubali mtu mmoja kuwa msemaji wa Taifa Katika kila kitu ikiwemo magonjwa kama korona, Alivaa barakoa na kusimamia anachokiamini
Wengine wameanza kuvaa barakoa baada ya Magufuli kutwaliwa
Hata Leo wanafiki wanajipendekeza kwa Mama Samia na kucheza na mdundo wake lakini siku akigeuka tu hataona mtu nyuma yake ingawa sasa wanasema Mama kopa pesa za kutosha tupo pamoja na deni ni himilivu