Wa kina TINGA TINGA!!!
Wamemtosa mzee wa watu, sasa hali mbaya!! Ulimi nje nje!!
Kazi wanayo, ila ushauri wa bure kwa CHADEMA, never underestimate the capacity of this monster!!! It can do anything with in its power on seeking re-election.
:hand:
hahahaha,i think i like u,,Sasa kwa kutambua hilo natumaini kura yako utaielekeza kwa Dr wa ukweli na sio Dr wakupewa kama njungu kama wa wakina Dr Cheni, Dr L Abdalah, Dr Manyaunyau nk
Mkuu hizi nni habari kutoka huko huko unakoita kijijini ni habari za kuaminika as reported by me from a highly trusted and reliable source, Nimepewa mifano Majimbo yafuatayo kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini yameponyoka na nguvu kubwa mno inahitajika kuyarudisha CCM
1. Mbarali
2. Mbeya Mjini
3. Mbozi mashariki
4. Mbozi Magharibi
5. Iringa mjini
6. Njombe kusini
7. Njombe kaskazini
8.Sumbaawanga mjini
9.Nkasi kusini
Habari ndiyo hiyo!
Just stay tuned!
7. Kuwazuga watanzania kwamba yeye ni mpambanaji wa ufisadi wakati huo huo akiwasafisha watuhumiwa ufisadi na akikampeni kifisadi. Funny enough thse day kila anapoenda watu wenye questionable credibility ndiyo wanakuwa mstari wa mbele kuwa naye karibu.
Inaripotiwa wapi na nani? Au ni haya mambo tunaona kwenye TV akiwa mjini. Kumbuka vijijini wapiga kura wengi bado wana kasumba ya CCM na wanatishwa na kutishika. Let us avoid making sweeping statements. Tutake tusitake bado CCM ni monster na aitashindwa kwa wishful thinking.
WanaCCM wa kweli hawaongei tena. Maana chama kimevamiwa, wamemuachia. Safu ya viongozi wa juu imepoa kama maji ya mtungini. Wameamua kumuachia m/kiti waone mwisho wake. Ndo maana kaamua kutumia maguvu yake, dola. Mbaya zaidi this time anawataka JWTZ.
I am sure Mungu wake anayemuamini atamuonyesha gharama ya ubishi na kuto kukubali ushauri. Makamaba atashauri nini...!!!:A S 13:
Katika hali ya kustaajabisha ndani ya campaign trail inaripotiwa kwamba mgombea wa uraisi kwa tketi ya CCM hauziki. Hili linasemwa chini chini na wenyeviti wa CCM wa wilaya kadhaa. Kutokuuzika kwa mgombea huyo kunahatarisha hata baadhi ya wagombea ubunge na madiwani wa CCM.
Sababu kuu za kuporomoka kwa nyota (kama yeye mwenyewe anavyopenda kuiita) ya mgombea uraisi wa CCM ni kama zifuatazo.
1. Mgombea na CCM hawakujiandaa kabisa kupata rsistance wanayoiona.
2. Loyalty kwa chama imepungua mno au haipo kabisa kutokana na CCM kuweka bei ya karibu kila kitu kuanzia support, attendance ya mikutano na hata kura zenyewe. Sababu nyingine ni majority ya voters wa sasa hivi wengi ni born in the eightees and ninetees hivyo impact ya CCM kama influence haipo.
3. Pamoja na kusifika kote kwa strategy na organaizesheni CCM this time imekabidhi zigo zima la strategy kwa mgombea mwenyewe na familia yake.
4. Same old rhetoric kuendelea kutumika kwa kudhania watanzania hawa ni wale wale wa yes sir.
5. Sababu nyingine ni over-confidence aliyokuwa nayo JK kabla ya kampeni kuanza, hasa ukizingatia ushabiki na support fake (yes it was bought) wakati utaratibu wa kumpitisha ndani ya chama chake ulipokuwa ukiendelea. Alisahau kabisa kwamba wale walikuwa ni mainly wanaCCM na sio watanzania wote.
6. Uchakachuaji wa kura za maoni of which hakuonyesha leadership kufikia maamuzi ya mwisho.
7. Kuwazuga watanzania kwamba yeye ni mpambanaji wa ufisadi wakati huo huo akiwasafisha watuhumiwa ufisadi na akikampeni kifisadi. Funny enough thse day kila anapoenda watu wenye questionable credibility ndiyo wanakuwa mstari wa mbele kuwa naye karibu.
8. JK anadhani yeye ndiye CCM na CCM ndiyo yeye na yeye ndiyo serikali, which is absolutely very wrong.
9. Makamba, Kinana, na baadhi ya mafisadi kudhania kwamba they can do it alone..... Waliwakejeli vigogo wa zamani wa chama hicho na hawakutaka kuwahusisha kabisa na mwenendo wa kampeni utakavyokua.
10. Sababu kuu na muhiimu kuliko zote WATANZANIA WAMEICHOKA CCM na ahadi zake hewa, wanamwona kikwete kama nabii wa uongo, tapeli na asiye na chembe ya ujasiri wa kuwaafikisha kule wanakokutaka.
Kwa kampeni za CCM kuachiwa familia ya JK naona apo kwa kweli wamemsusia ilo zigo.
Madakatari wake wawe wanacheki BP daily as anything can happen
BIG JOKE.
Tangu lini mtaji ukawa mzigi kwa mfanyabiashara? Madeni ndio mzigo.
Imesemwa JK ni mtaji wa CCM kwani anakubalika kuliko CCM yenyewe au huo utafiti nao ulichakachuliwa?
Sasa kwa kutambua hilo natumaini kura yako utaielekeza kwa Dr wa ukweli na sio Dr wakupewa kama njungu kama wa wakina Dr Cheni, Dr L Abdalah, Dr Manyaunyau nk
Najaribu kureason sababu ya wazee wa zamani ambao wamekua kimya kabisah ata kama hawampendi raisi wao....sijui ni kwakua nao pia wanajua mikono yao imejaa damu sana kwa "maovu" walyofanya zama za uongozi wao? maana wakijifanya kimbelembele kikwete aweza sema "utaniambia nini wakati nawa ulifanya madudu a,b, c"? huwa nawaza sana kwanini wako kimya, viongozi enzi za mkapa, hata tangu enzi za mwalimu- wengi wao walishiriki kuuwa uhuru wa mawazo kwa kuwaweka watu kizuizini bila ya sababu- watu wengi sana walipotea kwa kuwekwa detention za ajabu na kuteswa na hata kuuwawa nasikia- apartheid style- inabidid kuzitunza siri za zamani- --just thinking aloud.
Madago,Najaribu kureason sababu ya wazee wa zamani ambao wamekua kimya kabisah ata kama hawampendi raisi wao....sijui ni kwakua nao pia wanajua mikono yao imejaa damu sana kwa "maovu" walyofanya zama za uongozi wao? maana wakijifanya kimbelembele kikwete aweza sema "utaniambia nini wakati nawa ulifanya madudu a,b, c"? huwa nawaza sana kwanini wako kimya, viongozi enzi za mkapa, hata tangu enzi za mwalimu- wengi wao walishiriki kuuwa uhuru wa mawazo kwa kuwaweka watu kizuizini bila ya sababu- watu wengi sana walipotea kwa kuwekwa detention za ajabu na kuteswa na hata kuuwawa nasikia- apartheid style- inabidid kuzitunza siri za zamani- --just thinking aloud.