Elections 2010 Kikwete sasa Mzigo CCM

Elections 2010 Kikwete sasa Mzigo CCM

Wa kina TINGA TINGA!!!

Wamemtosa mzee wa watu, sasa hali mbaya!! Ulimi nje nje!!
Kazi wanayo, ila ushauri wa bure kwa CHADEMA, never underestimate the capacity of this monster!!! It can do anything with in its power on seeking re-election.

:hand:

Hivi TINGA TINGA alihudhuria kampeni za JK pale DOM?
 
Sasa kwa kutambua hilo natumaini kura yako utaielekeza kwa Dr wa ukweli na sio Dr wakupewa kama njungu kama wa wakina Dr Cheni, Dr L Abdalah, Dr Manyaunyau nk
hahahaha,i think i like u,,
 
WanaCCM wa kweli hawaongei tena. Maana chama kimevamiwa, wamemuachia. Safu ya viongozi wa juu imepoa kama maji ya mtungini. Wameamua kumuachia m/kiti waone mwisho wake. Ndo maana kaamua kutumia maguvu yake, dola. Mbaya zaidi this time anawataka JWTZ.

I am sure Mungu wake anayemuamini atamuonyesha gharama ya ubishi na kuto kukubali ushauri. Makamaba atashauri nini...!!!:A S 13:
 
Mkuu hizi nni habari kutoka huko huko unakoita kijijini ni habari za kuaminika as reported by me from a highly trusted and reliable source, Nimepewa mifano Majimbo yafuatayo kutoka mikoa ya nyanda za juu kusini yameponyoka na nguvu kubwa mno inahitajika kuyarudisha CCM

1. Mbarali
2. Mbeya Mjini
3. Mbozi mashariki
4. Mbozi Magharibi
5. Iringa mjini
6. Njombe kusini
7. Njombe kaskazini
8.Sumbaawanga mjini
9.Nkasi kusini

Habari ndiyo hiyo!

Just stay tuned!

Nafikiri ulimaanisha Njombe Magharibi, kwa kuwa Njombe kusini Anna Makinda amepita bila kupingwa.
 
7. Kuwazuga watanzania kwamba yeye ni mpambanaji wa ufisadi wakati huo huo akiwasafisha watuhumiwa ufisadi na akikampeni kifisadi. Funny enough thse day kila anapoenda watu wenye questionable credibility ndiyo wanakuwa mstari wa mbele kuwa naye karibu.

....Kwa hili hatasamehewa popote!!
 
Inaripotiwa wapi na nani? Au ni haya mambo tunaona kwenye TV akiwa mjini. Kumbuka vijijini wapiga kura wengi bado wana kasumba ya CCM na wanatishwa na kutishika. Let us avoid making sweeping statements. Tutake tusitake bado CCM ni monster na aitashindwa kwa wishful thinking.

teh teh teh!we endelea kujifariji,hata huku vijijini ccm kwishney!
 
BIG JOKE.

Tangu lini mtaji ukawa mzigi kwa mfanyabiashara? Madeni ndio mzigo.

Imesemwa JK ni mtaji wa CCM kwani anakubalika kuliko CCM yenyewe au huo utafiti nao ulichakachuliwa?
 
Najaribu kureason sababu ya wazee wa zamani ambao wamekua kimya kabisah ata kama hawampendi raisi wao....sijui ni kwakua nao pia wanajua mikono yao imejaa damu sana kwa "maovu" walyofanya zama za uongozi wao? maana wakijifanya kimbelembele kikwete aweza sema "utaniambia nini wakati nawa ulifanya madudu a,b, c"? huwa nawaza sana kwanini wako kimya, viongozi enzi za mkapa, hata tangu enzi za mwalimu- wengi wao walishiriki kuuwa uhuru wa mawazo kwa kuwaweka watu kizuizini bila ya sababu- watu wengi sana walipotea kwa kuwekwa detention za ajabu na kuteswa na hata kuuwawa nasikia- apartheid style- inabidid kuzitunza siri za zamani- --just thinking aloud.
 
CCM imeongoza nchi nusu karne bila kumaliza ujenzi wa barabara achia mbali kujaribu kujenga maabara shuleni ili tujitegemee kisayansi. Sasa hao wazee waje kutueleza nini maana na wao ni sehemu ya tatizo SLAA NI SILAHA AISEEEE! Nipe shotgun (KURA) niitungue CCM...CHAMA CHA MAFISADI
 
WanaCCM wa kweli hawaongei tena. Maana chama kimevamiwa, wamemuachia. Safu ya viongozi wa juu imepoa kama maji ya mtungini. Wameamua kumuachia m/kiti waone mwisho wake. Ndo maana kaamua kutumia maguvu yake, dola. Mbaya zaidi this time anawataka JWTZ.

I am sure Mungu wake anayemuamini atamuonyesha gharama ya ubishi na kuto kukubali ushauri. Makamaba atashauri nini...!!!:A S 13:

Kuna nguvu ulioisahau!, ile nguvu ya kina Sheikh wa Magomeni! Si alisema kuwa ashampelekea walinzi? kwani aliwahi kukanusha?
Sisi tuzidi kumuomba Mungu kwa ustawi na kufunguliwa kwa taifa letu zuri la Tanzania. Kwa vyovyote vile, huu ni lazima uwe mwanzo
 
Kuna kila hali ya kushindwa CCM katika kila medani, sasa hivi wanalia kila mahala na kusaga meno. Cha kushangaza kuna sehemu CCM wenyewe hawapendani na wanasusia wagombea wao kuwa hawauziki. Slaa ni Mzigo ni bomu la nyukilia kwa ndani ya CCM. Muda si mrefu nina wasiwasi hata JK watakuwa hawamuangalii usoni. Nasikia upinzani hata umeonekana dhaili makao makuu ya chama na serikali pamoja na miji isiyokuwa na historia ya upinzani kama Singida. Hizi si dalili nzuri kwa Makamba na timu yake. chama ninawafia mikononi. Kuna watu wamemkumbuka mzee wa kusini Mangula lakini siku zilizobaki hazitasaidia. Muda si mrefu CCM inaweza kuungana na KANU
 
Katika hali ya kustaajabisha ndani ya campaign trail inaripotiwa kwamba mgombea wa uraisi kwa tketi ya CCM hauziki. Hili linasemwa chini chini na wenyeviti wa CCM wa wilaya kadhaa. Kutokuuzika kwa mgombea huyo kunahatarisha hata baadhi ya wagombea ubunge na madiwani wa CCM.

Sababu kuu za kuporomoka kwa nyota (kama yeye mwenyewe anavyopenda kuiita) ya mgombea uraisi wa CCM ni kama zifuatazo.

1. Mgombea na CCM hawakujiandaa kabisa kupata rsistance wanayoiona.

2. Loyalty kwa chama imepungua mno au haipo kabisa kutokana na CCM kuweka bei ya karibu kila kitu kuanzia support, attendance ya mikutano na hata kura zenyewe. Sababu nyingine ni majority ya voters wa sasa hivi wengi ni born in the eightees and ninetees hivyo impact ya CCM kama influence haipo.

3. Pamoja na kusifika kote kwa strategy na organaizesheni CCM this time imekabidhi zigo zima la strategy kwa mgombea mwenyewe na familia yake.

4. Same old rhetoric kuendelea kutumika kwa kudhania watanzania hawa ni wale wale wa yes sir.

5. Sababu nyingine ni over-confidence aliyokuwa nayo JK kabla ya kampeni kuanza, hasa ukizingatia ushabiki na support fake (yes it was bought) wakati utaratibu wa kumpitisha ndani ya chama chake ulipokuwa ukiendelea. Alisahau kabisa kwamba wale walikuwa ni mainly wanaCCM na sio watanzania wote.

6. Uchakachuaji wa kura za maoni of which hakuonyesha leadership kufikia maamuzi ya mwisho.

7. Kuwazuga watanzania kwamba yeye ni mpambanaji wa ufisadi wakati huo huo akiwasafisha watuhumiwa ufisadi na akikampeni kifisadi. Funny enough thse day kila anapoenda watu wenye questionable credibility ndiyo wanakuwa mstari wa mbele kuwa naye karibu.

8. JK anadhani yeye ndiye CCM na CCM ndiyo yeye na yeye ndiyo serikali, which is absolutely very wrong.

9. Makamba, Kinana, na baadhi ya mafisadi kudhania kwamba they can do it alone..... Waliwakejeli vigogo wa zamani wa chama hicho na hawakutaka kuwahusisha kabisa na mwenendo wa kampeni utakavyokua.

10. Sababu kuu na muhiimu kuliko zote WATANZANIA WAMEICHOKA CCM na ahadi zake hewa, wanamwona kikwete kama nabii wa uongo, tapeli na asiye na chembe ya ujasiri wa kuwaafikisha kule wanakokutaka.

Very good Analyst, all 10 reason are incredibly true! Tupe mambo kijana!
 
Kwa kampeni za CCM kuachiwa familia ya JK naona apo kwa kweli wamemsusia ilo zigo.
Madakatari wake wawe wanacheki BP daily as anything can happen

Wewe sasa haumtakii afya njema Kikwete, hata kama haumpi kura yako kama vile ambavyo mimi sitampa kura yangu, inabidi tumtakie afya njema.. KWAMBA Madaktari wake wanatakiwa wamcheki HOURLY and not DAILY, it is too risky to check him Daily!!
 
BIG JOKE.

Tangu lini mtaji ukawa mzigi kwa mfanyabiashara? Madeni ndio mzigo.

Imesemwa JK ni mtaji wa CCM kwani anakubalika kuliko CCM yenyewe au huo utafiti nao ulichakachuliwa?

Yea mkuu it is real and all this in just one month kutoka MTAJI mpaka MZIGO. Kuna maeneo hata wao CCM wameshakubali yaishe.
 
Sasa kwa kutambua hilo natumaini kura yako utaielekeza kwa Dr wa ukweli na sio Dr wakupewa kama njungu kama wa wakina Dr Cheni, Dr L Abdalah, Dr Manyaunyau nk

Nakushauri hili neno Dr achana nalo kwakuwa limechakachuliwa sana, utashindwa kutofautisha dr halisi na wale wenye u dr kama wa Remy na cheni, cha kufanya muite Slaa (PhD) inatosha.
 
Najaribu kureason sababu ya wazee wa zamani ambao wamekua kimya kabisah ata kama hawampendi raisi wao....sijui ni kwakua nao pia wanajua mikono yao imejaa damu sana kwa "maovu" walyofanya zama za uongozi wao? maana wakijifanya kimbelembele kikwete aweza sema "utaniambia nini wakati nawa ulifanya madudu a,b, c"? huwa nawaza sana kwanini wako kimya, viongozi enzi za mkapa, hata tangu enzi za mwalimu- wengi wao walishiriki kuuwa uhuru wa mawazo kwa kuwaweka watu kizuizini bila ya sababu- watu wengi sana walipotea kwa kuwekwa detention za ajabu na kuteswa na hata kuuwawa nasikia- apartheid style- inabidid kuzitunza siri za zamani- --just thinking aloud.

Hapana Madago, nadhani isingekuwa hivyo kama hao wa zamani wana damu mikononi mwao. Kinyume chake ingekuwa ni sababu nzito ya kumtumia Kikwete kama mtaji ili wapate ulinzi ambao ni dhahiri kwa miaka mingine mitano. Wangehofia sana kama upinzani wanachukua taifa maana hawa watakuwa na sababu nyingi za kulipiza kisasi kama hayo unayoyasema yalitokea.

Nimependa uchambuzi uliofanywa. JK hana wa kumlaumu ila yeye mwenyewe
 
Najaribu kureason sababu ya wazee wa zamani ambao wamekua kimya kabisah ata kama hawampendi raisi wao....sijui ni kwakua nao pia wanajua mikono yao imejaa damu sana kwa "maovu" walyofanya zama za uongozi wao? maana wakijifanya kimbelembele kikwete aweza sema "utaniambia nini wakati nawa ulifanya madudu a,b, c"? huwa nawaza sana kwanini wako kimya, viongozi enzi za mkapa, hata tangu enzi za mwalimu- wengi wao walishiriki kuuwa uhuru wa mawazo kwa kuwaweka watu kizuizini bila ya sababu- watu wengi sana walipotea kwa kuwekwa detention za ajabu na kuteswa na hata kuuwawa nasikia- apartheid style- inabidid kuzitunza siri za zamani- --just thinking aloud.
Madago,
Hilo la kuwaweka watu kizuizini ulikuwa uamuzi wa Mwalimu. Mlaumu yeye na si viongozi wengine ambao hawakuhusika katika uamuzi huo.
Na hii amani na mshikamano ambayo watu wanajivunia nayo leo bila hata kuipalilia ilikuwa kazi ya Mwalimu. Therefore, kuwekwa watu kizuizini enzi hizo kuli serve purpose.
 
Now the list is expanding fast, to prove that JK ni liability kwa watanzania, chama chake na hata mashabiki wake!
 
Back
Top Bottom