Kikwete scores high on beer!

Kikwete scores high on beer!

Highlander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
3,093
Reaction score
1,075
Beer demand drops in Tanzania? on account of high taxes?

SABMiller, one of the world’s largest brewers, announced growth in lager volumes across most of its markets in Africa. Zambia led the charge with 10 percent growth in lager demand, which the company credits to improved distribution and availability. Ventures Africa reports that Mozambique showed nearly as much enthusiasm, consuming 9 percent more lager than a year before. Uganda raised its demand for the clear beer by 4 percent, while South Africa demanded 3 percent more lager in 2012 than in 2011. Unfortunately Tanzania and Zimbabwe both saw a drop in lager volumes due to new taxes on beer products.
 
I am not sure if the cause of the beer selling drop in Tanzania is higher taxes as mentioned here. If it would have been me, I should have directed my blames to stiff competition from Serengeti breweries.

Aren't you?

Tiba
 
I am not sure if the cause of the beer selling drop in Tanzania is higher taxes as mentioned here. If it would have been me, I should have directed my blames to stiff competition from Serengeti breweries. Aren't you? Tiba
Mkuu Tiba; I started this thread to test if there is somebody else out there who shares my suspicion: I think taxes is not THE only reason for this drop--if there IS a drop. I suspect it may be caused by two factors: religious reasons and/or financial hardship. And now you bring up competition. Yes...competition is a possibility
 
Mkuu Tiba;religious reasons
Hii inachangiaje?
Hatuwezi kupinga kigezo chao bila kuangalia kodi za nchi nyingine kama Zambia na kodi zetu kwenye bia kwa miaka kadhaa.
 
comepetition haina nafasi kwenye kupungua kwa mauzo ya bidhaa za SAB Miller, Tanzania. Nakubaliana na SAB Miller kwamba kodi ndiyo sababu kubwa kwani wanywaji wengi wamepunguza kiasi cha ujazo walichokuwa wanatumia kabla ya kodi-na wala siyo kwamba wamebadilisha kampuni.
 
Kwani kodi ikipanda kwenye bia, mnywaji tu ndo anabeba mzigo? au hata mzalishaji anahusika. What is the elasticity of demand ya hii kitu? Na customer preference pia inahusika!
 
Beer demand drops in Tanzania? on account of high taxes?

SABMiller, one of the world's largest brewers, announced growth in lager volumes across most of its markets in Africa. Zambia led the charge with 10 percent growth in lager demand, which the company credits to improved distribution and availability. Ventures Africa reports that Mozambique showed nearly as much enthusiasm, consuming 9 percent more lager than a year before. Uganda raised its demand for the clear beer by 4 percent, while South Africa demanded 3 percent more lager in 2012 than in 2011. Unfortunately Tanzania and Zimbabwe both saw a drop in lager volumes due to new taxes on beer products.
Thank you! We are not a booze nation
 
Kizazi cha sasa kimehamia kwenye "viroba", lager hawanywi tena!
 
Kizazi cha sasa kimehamia kwenye "viroba", lager hawanywi tena!

Una pointi hapo mkuu. Kuna brewer mmoja Dar kaja ni mpya. Kuna likiroba moja karibia nusu kilo ninauzwa alfu moja tu. Watoto wamelichangamkia kwelikweli.

So kwa kiwango kikubwa kushuka huku inaweza kuwa kesi ya Hali ya kuyumba kwa uchumi wa watu mmojammoja na ujio wa competition kama za viroba. You may be right!
 
Thank you! We are not a booze nation

We are not a booze nation? mmmh! Maybe.... Em kacheki kuna mianzi mingapi imebaki wima kule iringa wanakogema ulanzi. vimebaki vifupiiiii? Pamoja na uzuri wa kauli yako katika kuitamka, hofu yangu ni kwamba hii kauli ni wishful thinking mkuu.
 
Hii inachangiaje?
Hatuwezi kupinga kigezo chao bila kuangalia kodi za nchi nyingine kama Zambia na kodi zetu kwenye bia kwa miaka kadhaa.

Inawezekana nilishindwa kuhusisha kodi na price-hike. Kwamba bei imepanda kutokana na kodi kupanda, na kwamba kupanda huko kwa bei kumeifanya bia kuwa kitu aghali na wato wameanza ku- fore-go wasinywe lager. Kwa hiyo Kodi itakuwa ni factor, lakini msingi wa hii factor kuwa na impact ni hali ya uchumi wa watu kuwa chini. Kwa hiyo hili ni tatizo la upungufu wa pesa ya ziada miongoni mwa watanzania kwa ajili ya starehe..... au?
 
Kwani kodi ikipanda kwenye bia, mnywaji tu ndo anabeba mzigo? au hata mzalishaji anahusika. What is the elasticity of demand ya hii kitu? Na customer preference pia inahusika!

Mkuu Mwanahisa, utakuwa unajua kitu Cost-pushing. Ukimpandishia kodi mzalishaji atatafuta calculation mlaji alipie hilo zigo. Kwa jibu la swali lako la kwanza ni ndio Ni mnywaji atayelipia gharama ya kodi mpya, japokuwa in the end brewer atalipa indirectly kwa kupoteza wanywaji, which is the case this time hapa TZ.

Off course Customer preference inahusika hapa, kwa kuwa ni wazi customer wakati wote ni mtu wa kutafuta wapi panampa unafuu, manufaa, au niseme utility ambazo zinakuwa na vigezo vingi, bei ikiwa mojawapo ya vigezo.

Sijafanya research ya elasticity of demand ya kilevi, lakini nina hakika myumbo utakuwa mkubwa sana in response to price change. Kuna jamaa mmoja nayemjua alipokuwa na hali nzuri alikuwa akianzia kunywa baa. Baada ya hela kumpiga chenga alianza kwanza anaanzia kwenye mataptap weeee, halafu saa tatu nne hivi usiku anapepesukia baa. Ukimkuta na bia moja kalewa unajua du...jamaa kazinywa kwelikweli. kumbe mwenzio kaanzia mianzini kwenye ulanzi.

Elasticity of demand kwenye booze? mbona choice kibao zipo.... Hela ikipiga chenga unashuka tu mianzini yaishe!
 
comepetition haina nafasi kwenye kupungua kwa mauzo ya bidhaa za SAB Miller, Tanzania. Nakubaliana na SAB Miller kwamba kodi ndiyo sababu kubwa kwani wanywaji wengi wamepunguza kiasi cha ujazo walichokuwa wanatumia kabla ya kodi-na wala siyo kwamba wamebadilisha kampuni.

Je hii ni taarifa ya ndani mkuu? au? Umetafakari effect ya viroba vya bei poa lakini?
 
Issue hapa ni umasikini wakati nchi nyingine middle class inakuwa sisi lower class ambayo haiwezi kununua bia ndiyo inayokuwa - Ni mtazamo tu
 
Mkuu Tiba; I started this thread to test if there is somebody else out there who shares my suspicion: I think taxes is not THE only reason for this drop--if there IS a drop. I suspect it may be caused by two factors: religious reasons and/or financial hardship. And now you bring up competition. Yes...competition is a possibility

Ni kweli kuwa kupanda kwa bei ni sababu ya msingi ya kupungua unywaji wa bia, ukiangalia saivi konyagi na valuer na viroba ndo vinanyweka sana, wanywaji wameongezeka ila unywaji wa biere umepungua sana, mi mwenyewe napiga mzinga wa konyagi na castle lager mbili tatu siku imepita
 
Kibiashara nadhani TBL wafikirie kushusha hizi bei itawasaidia sana kibiashara. 1,500/- hadi 1,900/- parefu sana wajua?
 
Sawa wakuu nimewasoma na hilo suala la price. Lakini ningependa kujua je mnaonaje mkipata lager ikiwa kwenye chupa kama ya c/lite ama ndovu 300mls hadi 330mls but ikauzwa kwa 1000/- ama 1200/-?

Kwa bahati mbaya sijafanya uchunguzi Castle au Kili ninazokunya zina mils ngapi. Huwa najimiminia tu Castle yangu basi. What is the difference in mils kati ya hiki unachopendekeza na hii chupa ya sasa ya Castle kwa mfano? Ni kitu gani kitachokuwa compromized hapo hasa kushusha price hadi huko 1000/-? Ni container(chupa?), au volumes.... Hebu funguka kidogo hapo.
 
Watu napata tu Ung'imbi wa Komoni na Ulanzi wala hakuna kulipa kodi!
Ung'imbi tu mbele kwa mbele!

Hiyo ripoti haijaweka bayana kuwa tangu waongeze kodi ktk bia na utumiaji wa Ung'imbi umeongezeka sana!
 
Back
Top Bottom