Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa bahati mbaya sijafanya uchunguzi Castle au Kili ninazokunya zina mils ngapi. Huwa najimiminia tu Castle yangu basi. What is the difference in mils kati ya hiki unachopendekeza na hii chupa ya sasa ya Castle kwa mfano? Ni kitu gani kitachokuwa compromized hapo hasa kushusha price hadi huko 1000/-? Ni container(chupa?), au volumes.... Hebu funguka kidogo hapo.
Inabidi SAB kuwa innovative. Mfano ku introduce new cheaper beer kama walivofanya EABL Kenya na beer senator na bia ya kupima aka vuta pumzi.
Inabidi SAB kuwa innovative. Mfano ku introduce new cheaper beer kama walivofanya EABL Kenya na beer senator na bia ya kupima aka vuta pumzi.
Ok mkuu,ndove n castle lite in mls 375 (green bottles calabash)recomended price ni tsh 1800,castle lager na zingine zenye 500mls ni tshs 2000/-,,tofauti ipo ktk bei na ujazo pia,,sasa ninachotaka kufahamu kinacofanya watu wasipurchase bidhaa kwa wingi zaidi kama report hiyo hapo juu ni nini? Price ama kuna chochote kingine,coz kama ni market share bado tbl ipo juu zaidi ya competitors its over 75%.sasa nataka kujua mawazo ya consumers what they want in our products either to lower our prices which will be to introduce our products in another package,eg angalia walichofanya kampuni ya coke wameleta package mpya zenye mls 300 na bei ikapungua compared with former products ambazo zilikuwa na mls 350
Hii nadhani Chimbuvu ataipenda. Inakubaliana kwa chaaaati...na wazo lake la kufanya repacks na kushusha bei. Sema tu wengi wetu tunapozungumzia kushusha bei tunamaanisha ujazo uwe uleule.... Can you imagine unakula mbuzi alaf unakuta ile Castle yako ina mills 150. We unaona haki apo?....