Kikwete scores high on beer!

Kikwete scores high on beer!

Acha zidrop kabisa ili hilo serikali legelege likose kodi. Kila bajeti bei ya bia juu utadhani hamna vyanzo vingine. Wajanja wanajua multplier effect ya vinywaji bei zinapokuwa affordable.
 
Ok mkuu,ndove n castle lite in mls 375 (green bottles calabash)recomended price ni tsh 1800,castle lager na zingine zenye 500mls ni tshs 2000/-,,tofauti ipo ktk bei na ujazo pia,,sasa ninachotaka kufahamu kinacofanya watu wasipurchase bidhaa kwa wingi zaidi kama report hiyo hapo juu ni nini? Price ama kuna chochote kingine,coz kama ni market share bado tbl ipo juu zaidi ya competitors its over 75%.sasa nataka kujua mawazo ya consumers what they want in our products either to lower our prices which will be to introduce our products in another package,eg angalia walichofanya kampuni ya coke wameleta package mpya zenye mls 300 na bei ikapungua compared with former products ambazo zilikuwa na mls 350

Kwa bahati mbaya sijafanya uchunguzi Castle au Kili ninazokunya zina mils ngapi. Huwa najimiminia tu Castle yangu basi. What is the difference in mils kati ya hiki unachopendekeza na hii chupa ya sasa ya Castle kwa mfano? Ni kitu gani kitachokuwa compromized hapo hasa kushusha price hadi huko 1000/-? Ni container(chupa?), au volumes.... Hebu funguka kidogo hapo.
 
Inabidi SAB kuwa innovative. Mfano ku introduce new cheaper beer kama walivofanya EABL Kenya na beer senator na bia ya kupima aka vuta pumzi.
 
Hii nadhani Chimbuvu ataipenda. Inakubaliana kwa chaaaati...na wazo lake la kufanya repacks na kushusha bei. Sema tu wengi wetu tunapozungumzia kushusha bei tunamaanisha ujazo uwe uleule.... Can you imagine unakula mbuzi alaf unakuta ile Castle yako ina mills 150. We unaona haki apo?....

Katika competition ni lazima kuwa creative,na wanasema kimya kingi mshindo mkuu,

Inabidi SAB kuwa innovative. Mfano ku introduce new cheaper beer kama walivofanya EABL Kenya na beer senator na bia ya kupima aka vuta pumzi.
 
Na hiyo avator yako mbona inatia hofu mkuu. Ulitoka kazini nini? Ha ha ha ha..... Ulipona kweli?

Anyway, let me get to the issue: consensus inavyoonekana ni kama watu wanacholalamikia ni prices kuwa juu. Kwa hiyo sidhani kama repacks kupunguza vyote ujazo na price vitapokelewa positively. Of course siwezi kumsemea kila mtu, lakini lwangu mimi hapa kama mimi ningeshauri tu mjibane kwenye mark-up isiwe juu kiiiivyo. Hata kama kodi imepanda sidhani kama ratio inaweza fikia ratio hii ya bia kutoka 1500/- hadi retail levels za 1800/- au hata 1900/-.

Punguzeni kidogo bana bei ya ulabu.....

Ok mkuu,ndove n castle lite in mls 375 (green bottles calabash)recomended price ni tsh 1800,castle lager na zingine zenye 500mls ni tshs 2000/-,,tofauti ipo ktk bei na ujazo pia,,sasa ninachotaka kufahamu kinacofanya watu wasipurchase bidhaa kwa wingi zaidi kama report hiyo hapo juu ni nini? Price ama kuna chochote kingine,coz kama ni market share bado tbl ipo juu zaidi ya competitors its over 75%.sasa nataka kujua mawazo ya consumers what they want in our products either to lower our prices which will be to introduce our products in another package,eg angalia walichofanya kampuni ya coke wameleta package mpya zenye mls 300 na bei ikapungua compared with former products ambazo zilikuwa na mls 350
 
Ni wazo zuri hilo la kuintroduce cheaper beer,also mbali na hapo kuna operations cost ambazo zinaongezeka every year kama fuel,sugar,wheat etc mbali na kuwa na ongezeko la operations cost kuongezeka tunajaribu njia ya kuwanufaisha zaidi our customers,ndio maana hata competitor ni product moja tu ndio ameipunguzia bei na hiyo ni baada ya kukata cost,so we are planning big na wazo hilo ni zuri

Back
Top Bottom