Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msanii mkubwa huyo,ndiye aliyetuletea mwehu mwendazake akatuharibia nchiAkizungumza kwenye hafla ya Miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Rais Mstaafu amesema ni muhimu kuhakikisha kunakuwa na sera nzuri zisizobagua na kuwanyima watu uhuru wao kwasababu hiyo ni njia nyingine kuu ya kulinda usalama wa nchi.
Amefafanua kuwa usalama wa nchi unahusisha mambo mengi, na kutolea mfano majukumu ya JWTZ kulinda mipaka, Idara ya Usalama wa Taifa kufanya upelelezi na kupekua mambo yanayotokea duniani kote lakini kipengele kikubwa ni nchi kuwa sera nzuri za ndani.
Kikwete amesema "Nchi ikiwa na sera nzuri za ndani na mahusiano mazuri na nchi nyingine haitalazimika hata kununua vifaru vya jeshi kwa sababu hakutakuwa na matishio ya usalama na hivyo hakutakua na wa kupigana naye".
Wajitahidi kuyaishi hayo wanayohubiri, vinginevyo wanaonekana wanafiki.
Wastaafu wengine wakistaafu ndio akili zinarudi sawa na KUAMUA kusema ukweli.Akizungumza kwenye hafla ya Miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Rais Mstaafu amesema ni muhimu kuhakikisha kunakuwa na sera nzuri zisizobagua na kuwanyima watu uhuru wao kwasababu hiyo ni njia nyingine kuu ya kulinda usalama wa nchi.
Amefafanua kuwa usalama wa nchi unahusisha mambo mengi, na kutolea mfano majukumu ya JWTZ kulinda mipaka, Idara ya Usalama wa Taifa kufanya upelelezi na kupekua mambo yanayotokea duniani kote lakini kipengele kikubwa ni nchi kuwa sera nzuri za ndani.
Kikwete amesema "Nchi ikiwa na sera nzuri za ndani na mahusiano mazuri na nchi nyingine haitalazimika hata kununua vifaru vya jeshi kwa sababu hakutakuwa na matishio ya usalama na hivyo hakutakua na wa kupigana naye".
Naam hizi Tozo (double taxation), walamba asali waliojisahau wenye majibu ya hovyo, mawaziri/watendaji wanaohudumia matumbo yao badala ya kuwatumikia wananchi na marginalization of many ni mbaya sana kwa usalama wa nchi..., tunaanzisha an enemy within...Akizungumza kwenye hafla ya Miaka 10 ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Rais Mstaafu amesema ni muhimu kuhakikisha kunakuwa na sera nzuri zisizobagua na kuwanyima watu uhuru wao kwasababu hiyo ni njia nyingine kuu ya kulinda usalama wa nchi.
Amefafanua kuwa usalama wa nchi unahusisha mambo mengi, na kutolea mfano majukumu ya JWTZ kulinda mipaka, Idara ya Usalama wa Taifa kufanya upelelezi na kupekua mambo yanayotokea duniani kote lakini kipengele kikubwa ni nchi kuwa sera nzuri za ndani.
Kikwete amesema "Nchi ikiwa na sera nzuri za ndani na mahusiano mazuri na nchi nyingine haitalazimika hata kununua vifaru vya jeshi kwa sababu hakutakuwa na matishio ya usalama na hivyo hakutakua na wa kupigana naye".
Kwa nini yasizungumuziwe ndani ya kamati husika?Ni jambo jema
Kwa hukumu ile hakuna la kujifunza kwenye vyombo vya kutoa haki nchini humo!Mheshimiwa rais mstaafu Jakaya Kikwete amejifunza mengi kule Jamhuri ya Kenya na sasa ameamua kusema kweli .