Kikwete: Sera zinazowanyima watu uhuru ni hatari kwa usalama wa nchi

  • Kwenye hiyo aya ya mwisho, sikubaliani na Mh. JK. Kwa rasilimali tulizo nazo, inapaswa tuwe na JWTZ imara hatari.
  • Kabla ya kutafuta mali, imarisha Ulinzi
  • Congo, D.R imekuwa shamba la bibi Kwa kukosa Ulinzi.
 
Hawakuzungumzia lolote kuhusu ugumu wa maisha?? Hiyo inaweza kuwa sababu kuu kuliko zote ya kuondoa Usalama, inapofika maisha yanakua magumu mpaka mjeda anajitoa uhai ........
 
Msanii mkubwa huyo,ndiye aliyetuletea mwehu mwendazake akatuharibia nchi
 
Angesema kiongozi yoyote wa CHADEMA, ungesikia wapinzani wanataka kuuza nchi au kuhatarisha usalama wa Taifa na kwamba hawafai kupewa nchi.
 
Angesema sera nzuri za Elimu na Ajira zenye staha kwa Watanzania wote ni muhimu kwa usalama wa nchi.
 
Leo Mzee Baba Amechafukwa Sana Amesema Ukweli Mtu

Lete Maneno......
Akili Za Kuambiwa Changanya Na Za Kwako
By JK Wa Msoga Chalinze Tanzania
 
Wastaafu wengine wakistaafu ndio akili zinarudi sawa na KUAMUA kusema ukweli.
 
Naam hizi Tozo (double taxation), walamba asali waliojisahau wenye majibu ya hovyo, mawaziri/watendaji wanaohudumia matumbo yao badala ya kuwatumikia wananchi na marginalization of many ni mbaya sana kwa usalama wa nchi..., tunaanzisha an enemy within...
 
Endeleeni kuvibana vyama vya upinzani muone kama sitajilipua.
 
Mheshimiwa rais mstaafu Jakaya Kikwete amejifunza mengi kule Jamhuri ya Kenya na sasa ameamua kusema kweli .
Kwa hukumu ile hakuna la kujifunza kwenye vyombo vya kutoa haki nchini humo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…