GE2025 Kikwete: Sitamzuia Mke wangu kufanya kazi ya Siasa

GE2025 Kikwete: Sitamzuia Mke wangu kufanya kazi ya Siasa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
huyo mungu ametoa hayo mamlaka ya kuzuia tukitaka kwa wake zetu 🫵

nionyeshe ni wapi kwenye Biblia ulikopewa mamlaka ya kumzuia binadamu ambaye siyo mtumwa wako mwingine kufanya atakalo ...
 
Kwenye hili niko JK huyo ni mtu mzima huwezi kumzuia kutimiza ndoto zake
 
Kavumilia nini hasa?
Mkewe kuwa mbunge kunampasa yeye kuvumilia nini??
 
Rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete, amesema hana pingamizi lolote kwa mkewe, Salma Kikwete kuendelea kufanya kazi za uwakilishi bungeni

Amewataka wananchi wa Jimbo la Mchinga, lililopo mkoani Lindi, kumpigia kura ili aendeleze alipoishia katika kipindi kilichopita. Salma amelitumikia jimbo hilo kwa miaka mitano kuanzia 2020 hadi 2025

Kikwete amesema hayo Jumapili, Septemba 7, 2025, wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Mchinga uliofanyika katika Uwanja wa Rutamba, mkoani Lindi

“Mimi sina tatizo na mke wangu Salma Kikwete. Nimevumilia miaka mitano na safari hii tena nitavumilia. Namuacha aendelee na kazi zake za ubunge ili awatumikie wananchi wa Mchinga,” amesema Rais huyo mstaafu

Amewaomba wananchi wa jimbo hilo, ikifika Oktoba 29, 2025, wampigie kura Mama Salma ili amalizie changamoto zilizobaki na kuwatumikia wananchi kwa ufanisi zaidi katika kipindi cha miaka mingine mitano ijayo


Soma pia




Chanzo: Mwananchi_official
Muslims awanaga akili ....anaye bisha ni mpumbavu tu
 
ndiyo! …
basi upo sahihi kwa mtazamo wako na kwa upande wako ikiwa kama ni lazima iwe kwenye biblia....!! maana nilitaka kujibu kutokana na imani yao alipopata hayo mamlaka ulioyaita ya umungu
 
Back
Top Bottom