Kikwete siyo safi! - yes I said it!




...Naam, kama Mkapa alikuwa chaguo la Nyerere, Kikwete ni chaguo la wapiga kura wa Tanzania walompa ushindi wa Tsunami, maana 80% si kidogo!

...Viongozi wa vyama vya upinzani Tanzania wanapaswa kutumia muda wa ziada 'kuwasomesha wananchi' ubora wa sera za vyama vyao na kujionyesha kweli wameiva kiuongozi, badala ya kukurupuka wakati wa kampeni kupigania Ruzuku tu.

...CHADEMA-Bara na CUF-visiwani vinajitahidi kwa kiasi fulani kuinyima usingizi CCM, ni matarajio vyama hivi vikifanya mabadiliko kidogo kiutendaji vinaweza kuwa tishio hapo siku si nyingi, Upinzani ambao utaweza kuipa shinikizo serikali ya CCM kufanya yale yaliyo tegemeo kwa Wananchi wa Tanzania nzima.

...2010 si mbali, kama kweli kilio kimesikika, ushindi wa tsunami nao utabakia historia, la sivyo ndio kama walivyonena wakuu hapo, wananchi wataendelea kuichagua CCM hata kama CCM wataleta mgombea ambaye 'atakuja kuonekana mbovu' kuliko BM au JK, wakati huo huo 'Maisha bora kwa kila mtanzania' yanazidi kudumaa. Ni matumaini yangu CHADEMA na CUF watajifunza kwa haya yanayojiri sasa Tanzania na kuchukulia advantage loopholes zinazojitokeza, na wakati huo huo CCM nao wakijitoa kwenye 'ndoto' walizonazo kwani wananchi wa Tanzania wanaanza kuchoshwa na 'ahadi za kununuliwa viatu', baada ya miaka mitano unaulizwa tena "ulitaka viatu gani vile?"
 

MwanaKijiji
Umesema kwamba Security and Exchange Commision and EDGAR wamethibitisha kwamba JK and msabaha wana hisa. What i know ni Kwamba SEC and EDGAR has everything public, yaani kila raia anaweza kuaccess. so can you tell us the Link, which form did you find this 10K, 8K au unaweza kutupa short initial za hiyo kampuni ili tukafaprove hilo?
 
Mimi nadhani Kikwete hakujua kazi za uraisi ni nini kabla ya kutumia nguvu na pesa zote alizotumia kupata uraisi. Sasa amefika kwenyewe na kugundua mambo yalivyo mazito sana na ameamua kusafiri nchi za nje kukimbia matatizo.
 


Initial zake ni TRE

- angalia mabadiliko niliyoyaweka kwenye makala ya Tanzania Daima kwani hii ya hapa niliandika bila kuedit...
 
Initial zake ni TRE

- angalia mabadiliko niliyoyaweka kwenye makala ya Tanzania Daima kwani hii ya hapa niliandika bila kuedit...

Mkjj,

ulituahidi kuiweka makala ya Tanzania daima hapa. Mbona bado hujaweka au ndio uzee unakujongelea hivyo!

BTW. Nimekuachia ujumbe kwenye simu yako coz damn!, you never pick your phone!
 
iko tayari kwenye website yao kule.. simu kila nikipokea inakata una uhakika hakuna anayejaribu kusikiliza?
 
mwanangu umenena na umechimbua!! kweli nakuaminia kwa hili! lakini tatizo jamaa katia pamba masikioni!
 
iko tayari kwenye website yao kule.. simu kila nikipokea inakata una uhakika hakuna anayejaribu kusikiliza?

Ok, nilikuwa bado sijaenda Tzdaima.

Wanaosikiliza wanaruhusiwa ila naomba tu wasijeyarekodi na wakayaweka hapa forum ambapo my kid sisterz wanaweza kusikia mambo ya wakubwa hapa.

Thanks!
 
Ok, nilikuwa bado sijaenda Tzdaima.

Wanaosikiliza wanaruhusiwa ila naomba tu wasijeyarekodi na wakayaweka hapa forum ambapo my kid sisterz wanaweza kusikia mambo ya wakubwa hapa.

Thanks!

Wasalimie....waambie nitawapigia simu this weekend
 
Hey Mwanakijiji...I'll holla at you on your PM....I'm still thinking about it...
 
Mwanakijiji na kijelasi chake utamuweza. Amesikia unapiga simu weekend, basi utamuona analeta bonge ya mgeni kwenye show ya weekend hii ili tuwe bize tena this weekend.

hahahahahahaha....way for him to distract people...especially for us who have ADD
 
hehee, kwi kwi kwi kwi kwi ! saa nyingine huwa nacheka tu ovyo ili kujaza nafasi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…