Field Marshall Es,
Kiongozi mzuri asiye na mapungufu ni yule ambaye kwanza hakubali tabia za wizi wa viongozi ambao huwachagua yeye mwenyewe na sio Wananchi. Sii Wananchi waliomchagua Rostam, Lowassa, Chenge, Karamagi, Meghji, na wengineo kushika nyadhifa zile...
Kuchaguliwa Ubunge wa hawa watu haina wananchi wote wa Tanzania walikubali watu hawa wawe viongozi.. Na kama unavyojua sheria za huku majuu, mkuu kama utampatia hifadhi mwizi basi wewe mwenyewe ni mhusika kwa njia moja ama nyingine..Unaweza kuwa arrested kwa kitendo hicho tu cha kumhifadhi jambazi!.
Kwa hiyo Kikwete anaweza kutokuwa mwizi lakini hadi sasa ametufanya wengi tujiulize maswali magumu kwa sababu NI wazi anafahamu kuwepo kwa wizi na wahusika lakini bado anawawekea kifua wezi wenyewe tena kwa Kauli yake mwenyewe...
Huyu ni rais wetu alikula kiapo cha kuitumikia serikali yetu kwa kuushika msahafu wa dini yake mwenyewe, leo anakuja fanya mambo nje ya kiapo bado kweli tunaamini hahusiki..
Mimi mkuu nimechoka na nimeshindwa kuvumilia pamoja na kwamba tumeombwa hivyo tka aingie madarakani lakini kwa usawa huu mkuu sidhani!
Mimi nadhani mkuu hapa kidogo umenasa..Mapungufu ya uongozi kwa Rais, hayahusiani ni tabia ya wizi ya viongozi wachache walioko ndani ya CCM, that is my point!