Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo
NyumbuAsubiri mhadhara mwingine wa Polepole ndiyo atajua nani hanazo
Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo
View attachment 3456340
Uchawa una mwishoNyumbu
Huyu Mzee huyu!!!! Yeye ndiye anatajwa kuyumbisha dishi bado anazungumza? Si Bora kukaa kimya kama walivyoamua kunyamazia kila jambo?Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo
View attachment 3456340
Unawajua Waswahili wewe?Huyu Mzee huyu!!!! Yeye ndiye anatajwa kuyumbisha dishi bado anazungumza? Si Bora kukaa kimya kama walivyoamua kunyamazia kila jambo?
Hivi vilio hivi!!! Haya!
Huyo JK amepofuka!Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho amesema, "Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo"
Mimi mbona sizioni?Episode lll wamesha ifuta, aliandika britanicca kwa kimombo, lakini wajuba tulisha inyonya nakala...🤣
HIzo episodes zinakua kama commedy sasa mkuu, anajua watafuts alafu anaweka , kwanini asiweke twita kama ile ya kwanzaEpisode lll wamesha ifuta, aliandika britanicca kwa kimombo, lakini wajuba tulisha inyonya nakala...🤣