Angeongeza na awareness nyingine ya kuidai Katiba mpya hapo tungemuelewa vizuri. !Awareness miongoni mwa Watu ni mojawapo
HaichekeshiTena nasikia kamalizza nguo za kuvaa anavaa vijora
Mzee Kubwajinga analinganisha visivyolinganishika. BWM, JMK na JPM walikuwa marais wa kuchaguliwa. Samia The Killer sio Rais wa kuchaguliwa. Isitoshe BWM, JMK na JPM walijaza form na kufuata taratibu zote za kuomba kuteuliwa kuwa wagombea kwa ticket ya CCM.Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho amesema, "Najua kulikuwa na maneno eti utaratibu umekiukwa na mimi nililaumiwa kwa jinsi nilivyosema kwenye Mkutano Mkuu, lakini waliokuwa wanasema hayo ama hawafahamu utaratibu wa chama chetu, au labda wamesahau, au wanajifanya hamnazo"