minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 23,510
- 22,529
Pamoja na Rafiki yake mkubwa Rostam AzizKatika wazee ambao ni hasara kwa taifa na huyu ni miongoni
Pamoja na Rafiki yake mkubwa Rostam AzizKatika wazee ambao ni hasara kwa taifa na huyu ni miongoni
Tanzania hakuna Tume ya uchaguzi, kuna Tume ya ccm ya uchaguzi wa maigizoOkay, fine. Tumeelewa. Ndiio utaratibu. Na hauna exception huo utaratibu.
Kwa nini mlifanya kimchakato cha uongo na kweli, na kura za mdomo za uongo na ukweli, kama utaratibu rasmi upo, na sio wa kura, za mdomo wala karatasi, na unajulikana, na unatumika ?
Kwa nini CCM inaruhusiwa na Tume kufuata taratibu ambazo hajizaandikwa kwenye katiba yao, au zinapingana kabisa na katiba yao ?
Nini maana ya kupeleka katiba yako kwa msajili wa vyama, na Tume ya Uchaguzi, na msajili wa nyaraka kama utakachofuata hakiko kwenye hiyo katiba ?
Kwa nini basi isitangazwe tu na chama, kwamba Samia ndio mgombea wetu kwa mujibu wa utaratibu wetu wa siku zote wa miaka kumi kumi ?
Na kwa nini Kikwete aliagiza, na Amos Makalla akatangaza, kwamba wajumbe wa kamati sijui ya kanuni tokeni nje, nendeni chemba mkaweke mambo sawa.
Walienda pembeni kuweka mambo gani ya kikanuni sawa ? Kanuni gani ilijitaji marekebisho ?
Madai kwamba Mkutano Mkuu una nguvu, unaweza kubadili kanuni, katiba, taratibu. Unawezaje kubadili katiba yako halafu ukaanza kutumia taratibu mpya kabla hujamwambia msajili kwamba tumebadili taratibu, mpya hizi hapa ?
Kwa nini mnatukuchulia Watanzania kama wapika gongo ambao hatujasoma kabisa kabisa kabisa ?
ONa jinga hili.Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho amesema, "Najua kulikuwa na maneno eti utaratibu umekiukwa na mimi nililaumiwa kwa jinsi nilivyosema kwenye Mkutano Mkuu, lakini waliokuwa wanasema hayo ama hawafahamu utaratibu wa chama chetu, au labda wamesahau, au wanajifanya hamnazo"
Kwanini unawasubiri hao wakujibie?Katumwa na Rostam Aziz ngoja akina Gwajima polepole watamjibu
Yule ma rope hana kifua cha uvumilivu kuna code alisema na figisu zake ikabidi wa muweke pembeni ! Ni jamaa yao lakini amepumzishwa kwanza.Hata Mimi ningejizima tu data kama huyo Mzee!
Mke na mtoto wamepitishwa ubunge huku Mzee Pinda na Yusuph wa kwao wameliwa vichwa!!
Huyu jamaa anaongea kwa kiburi sana
Ujamuelewa Mchungaji Malisa pia, achana na Polepole labda ukumuelewa kabisa.Mimi nadhani anamkumbusha Polepole kwamba Katiba ya Nchi imempa nguvu za madaraka makubwa Mkuu wa Nchi ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa Chama 😳 !🤷🏿♂️
Pia Mwenyekiti wa Chama ndiye Mkuu wa Chama ambaye yeye ndiye huwa anaendesha vikao vya Chama 😅🤷🏿♂️
Na kwamba Mwanachama yeyote hawezi kutoa hoja yeyote bila kwanza kuruhusiwa na Mwenyekiti 🤣🤣🤷🏿♂️ !
Sasa kwa muktadha huo wanaolalamika sasa na wale waliokubaliana pale Idodomya ni nani hamnazo ???!
Mr Polepole read between the lines 😳!
Achana na mambo ya kanuni na desturi ! Hiyo ni sawa na mila za kwenye makabila, mtu anaweza akazifuata au asizifuate 😂🤣🤣 !
Read between the lines Ndugu 🙌👍🤷🏿♂️
Acha tuone atakamvyomjibu..!!Polepole ndio alivyotaka kuwa mtu mzito wa ccm aingie anga zake ili ajibizane nae ;
Sasa Huyu mzee wa kikwere kajitumbuliza tuone jinsi Mheshimiwa Balozi atakavyomjibu!
Nifanyie wepesi mkuu nami nione yaliyomo, PM kama itskupendeza.Episode lll wamesha ifuta, aliandika britanicca kwa kimombo, lakini wajuba tulisha inyonya nakala...🤣
Lipia 1,000 kwanza mkuu, mawinga wa Jf tupate kula...😜Nifanyie wepesi mkuu nami nione yaliyomo, PM kama itskupendeza.
Iko hivi Mkuu kwa kifupi kabisa ngoja nikufahamishe -:Ujamuelewa Mchungaji Malisa pia, achana na Polepole labda ukumuelewa kabisa.
Hao watu kuwaelewa unatakiwa timamu kiakili, ukikurupuka uwezi kuwaelewa.
Marope ana ule ubitozi wa sekondari yeye mwenyewe anadhani ndio ujanja wenye kutosha kuutumia katika siasa za kuendeshea nchi!.Yule ma rope hana kifua cha uvumilivu kuna code alisema na figisu zake ikabidi wa muweke pembeni ! Ni jamaa yao lakini amepumzishwa kwanza.
Tangu Polepole aanze kuongea kuna kilichobadilika ?
Rafiki wa Rostam Aziz
Twitter anatumia jina ganiHIzo episodes zinakua kama commedy sasa mkuu, anajua watafuts alafu anaweka , kwanini asiweke twita kama ile ya kwanza