GE2025 Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo

GE2025 Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hakuna aliyesema Samia asigombee, tunachosema ni utaratibu wa chama ikiwemo kanuni na katiba zake zifuatwe!
Ndo amesema kuwa taratibu zao ndo hizo, kipindi cha pili unapita tu hupingwi. Acc to yeye Samia anaingia kipindi cha pili.
 
Anachokizungumzia Jk mbona tofauti sana. Samia anamalizia awamu ya tano ya Magufuli. Baada ya hapo alitakiwa aombe ridhaa ya hiyo nafasi akishindana na watu wengine wa chama ambao nao wahitaji hiyo nafasi.

Hata yeye mwenyewe Jk alipoweka nia ya kutaka hiyo nafasi hakuwa peke yake ulifanyika mchujo hadi kupatikana yeye aache ubabaishaji
Unamaanisha Samia anaweza kuwa raisi kwa miaka kumi miengine?
 
Kwani vipi mkuu kunaweza kuwa na awamu bila kupigiwa kura na wananchi basi kama ni hivyo awamu ya huyu mama yenu inatakiwa is she 2035
Muungano ufe mkoloni kaburu arejee Zanzibar na Tanganyika iwe huru ifanye uchanguzi wake bila usumbufu kwa wapinzani
 
Yaani huyu domo domo anawaambia viongozi wengine wasiongee mapadre wasiongee ili aongee yeye tu
aibe Rasilimali na Nchi na Rostam kisha wanamshinikiza kuwabambikia kesi za uongo wakosoaji wa mambo yao haramu ya kishetani
 
Mimi nadhani anamkumbusha Polepole kwamba Katiba ya Nchi imempa nguvu za madaraka makubwa Mkuu wa Nchi ambaye pia ndiye Mwenyekiti wa Chama 😳 !🤷🏿‍♂️
Pia Mwenyekiti wa Chama ndiye Mkuu wa Chama ambaye yeye ndiye huwa anaendesha vikao vya Chama 😅🤷🏿‍♂️

Na kwamba Mwanachama yeyote hawezi kutoa hoja yeyote bila kwanza kuruhusiwa na Mwenyekiti 🤣🤣🤷🏿‍♂️ !

Sasa kwa muktadha huo wanaolalamika sasa na wale waliokubaliana pale Idodomya ni nani hamnazo ???!
Mr Polepole read between the lines 😳!
Achana na mambo ya kanuni na desturi ! Hiyo ni sawa na mila za kwenye makabila, mtu anaweza akazifuata au asizifuate 😂🤣🤣 !
Read between the lines Ndugu 🙌👍🤷🏿‍♂️
 
Mwenye Episode 3 Ya britanicca Ailete hapa., Inabidi tuishi kama wamafia saivi Episode zikiwekwa, Unazicopy kwanza kabla gazijafutwa
 
Huenda nchi hii hatuna jeshi wala usalama wa taifa a achilia mbali deep state. Hao tunaowaona huenda ni watu wa kuburudisha viongozi kwa hayo mavazi, huenda kabisa siyo wanajeshi walioapa kuilinda nchi dhidi ya wavamizi wa nje na ndani.
 
Unasubr mwanaume mwenzako akusaidie kujibu akimaliza kujibu mpelekee na mke wako akamsaidie mengine raisi mstaafu ameshasema
Na wewe mpelekee mkeo akusaidie kukubali huo ujinga, mengine kasema yapi? hana point kasema zaidi ya kuimba Taarabu
 
Back
Top Bottom