Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
Sina mkuu, nami nasubiri nione kama nitapata hapa...teh🤣Nitembezee copy mkuu sijaipata hata inbox itapendeza.
Sina mkuu, nami nasubiri nione kama nitapata hapa...teh🤣Nitembezee copy mkuu sijaipata hata inbox itapendeza.
Sawa mkuu, ebu fanya unitupie zigo PM 🙄Huna siyo hauna
Zigo la codesSawa mkuu, ebu fanya unitupie zigo PM 🙄
Yule Mzee wa Moshi kwahio hamnazo? unawezaje kujibu allegations kubwa kiasi hicho kwa statement ya kipumbavu namna hio?"Najua kulikuwa na maneno eti utaratibu umekiukwa na mimi nililaumiwa kwa jinsi nilivyosema kwenye Mkutano Mkuu, lakini waliokuwa wanasema hayo ama hawafahamu utaratibu wa chama chetu, au labda wamesahau, au wanajifanya hamnazo"
Sina mkuu, namimi ndio naskilizia mzigo kwa wajuba mazee🤣Nifanyie mpango PM mkuu.
Nafikiri kila Mtanzania anayo haki ya kugombea.Angombea na nani??
Shukrani Jazilani. Nimeuona uzi, ngoja Sasa niusome mdogomdogo Sasa✌🏽✌🏽.Sina mkuu, namimi ndio naskilizia mzigo kwa wajuba mazee🤣
Chaumma + ACT 😳 !Kwani hawa wanazindua kampeni wanagombea na nani....wanachama wengi wa CCM ni mataahira sio bure
Wengi walisahau kuuliza na kuelewa zile zinazoitwa AWAMU. Ilivyoitwa tu awamu ya 6 wenye kubisha hapo wangebisha ili ibaki kuitwa awamu ya 5. Ikishabadirika tu kutoka awamu ya 5 kwenda awamu ya 6, Mgombea kipindi cha PILI hawezi kuwa na wagombea wengine kwenye ulingo maana anamalizia awamu yake.Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho amesema, "Najua kulikuwa na maneno eti utaratibu umekiukwa na mimi nililaumiwa kwa jinsi nilivyosema kwenye Mkutano Mkuu, lakini waliokuwa wanasema hayo ama hawafahamu utaratibu wa chama chetu, au labda wamesahau, au wanajifanya hamnazo"
Dhambi zote watabeba ukoo wa kikweteSawa tu mda ni wake acha atuone mapoyoyo wake si wamepitwa bila kupingwa mke ,mtoto mpk rais aliyemtaka yeye
Ni maneno ya kwenye siasa tu mkuu; ukifuatlia kauli za watu wa pwani majukwaani unaweza tukana sanaaaaaaHuyu jamaa anaongea kwa kiburi sana
Anachokizungumzia Jk mbona tofauti sana. Samia anamalizia awamu ya tano ya Magufuli. Baada ya hapo alitakiwa aombe ridhaa ya hiyo nafasi akishindana na watu wengine wa chama ambao nao wahitaji hiyo nafasi.Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho amesema, "Najua kulikuwa na maneno eti utaratibu umekiukwa na mimi nililaumiwa kwa jinsi nilivyosema kwenye Mkutano Mkuu, lakini waliokuwa wanasema hayo ama hawafahamu utaratibu wa chama chetu, au labda wamesahau, au wanajifanya hamnazo"
Kwani vipi mkuu kunaweza kuwa na awamu bila kupigiwa kura na wananchi basi kama ni hivyo awamu ya huyu mama yenu inatakiwa is she 2035Wengi walisahau kuuliza na kuelewa zile zinazoitwa AWAMU. Ilivyoitwa tu awamu ya 6 wenye kubisha hapo wangebisha ili ibaki kuitwa awamu ya 5. Ikishabadirika tu kutoka awamu ya 5 kwenda awamu ya 6, Mgombea kipindi cha PILI hawezi kuwa na wagombea wengine kwenye ulingo maana anamalizia awamu yake.
Wanaofahamu sasa watutueleza, ni lini mhula wa urais hauwezi kubadirika kuitwa awamu nyingine baada ya kufariki kwa rais akiwa madarakani. Rais aliyoko madarakani je akifa bado awamu yake imebakiza mwaka moja au miwili, au miezi michache, je hiyo awamu itabadirika au inabaki hiyo hiyo???
Nyumbu ni ccm kwenye mazezeta mengi mchakato wa mgombea Urais umesiginwa na kikwete yenyewe yapo yapo tu yamezubaaNyumbu