Nyamshongoma
JF-Expert Member
- Sep 12, 2024
- 542
- 771
Elements za unafikiMwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete akizungumza kwenye uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho amesema, "Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo"