GE2025 Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo

GE2025 Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete amesema wanaosema kuwa Chama Cha Mapinduzi kilikiuka taratibu katika kumteua mgombea urais inawezekana hawafahamu taratibu za chama hicho au wanafanya makusudi.

Chama Cha Mapinduzi kina utaratibu wake inapotokea mgombea amemaliza miaka yake mitano na anataka kuongeza miaka mingine mitano chama kinampitisha kama mgombea pekee.

CCM imeadhimia kumpitisha, wanasubiriwa watanzania kuweka Tiki mwezi Oktoba.

 
Imeisha hiyo!!
 

Attachments

  • downloadfile-1.png
    downloadfile-1.png
    2.3 MB · Views: 19
  • downloadfile-4.png
    downloadfile-4.png
    437.5 KB · Views: 16
🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • downloadfile-4.png
    downloadfile-4.png
    437.5 KB · Views: 26
Back
Top Bottom