GE2025 Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo

GE2025 Kikwete: Wanaodai utaratibu wa kumpata mgombea CCM haukufuatwa labda wanajifanya hamnazo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hivi JK haoni utofauti wa kile anachoongea na alichosema Polepole?

Polepole anaongelea process ya kumpata mgombea. Haongelei issue ya ccm kumpitisha mgombea mmoja.

Hata kama ni mgombea mmoja Lakini apite process kama ilivyo kwenye katiba yao.
 
Siku ya uzinduzi kampeni mwaka 2015 Rais mstaafu wakati huo alizungumza mengi lkn mwisho akasema ...... wanaodai...ni marofa!

Mwisho wa siku watanzania walikubali maisha yaendelee. SASA kipindi kama hiki ilipaswa Mzee Kikwete ajipumzikie - hii michakamichaka awaachie vijana.
 
Back
Top Bottom