Uwanjani wananchi wana mataji 27anaye fuatia yuko nyuma sana.Umeangalia kwenye nyanja ipi? Ukubwa wa timu unapimwa kwenye mafanikio, miundo mbinu je umeangalia kipengere gani?
Hata African Sports ya Tanga iliwahi kuchukuwa ubingwa wa ligi kuu, unataka kusema african sports ilikuwa kubwa kuliko simba na yanga?Umeangalia kwenye nyanja ipi? Ukubwa wa timu unapimwa kwenye mafanikio, miundo mbinu je umeangalia kipengere gani?
Haaa, sio kweli, hata Simba kamili walifanywa hivyohivyo na UD Songo, kwani simba waliingia uchizi kwaajili ya hiyo? Yanga hawawezi kuingia uchizi kwakuwa sababu za kufungwa wanazo za ukweli kabisa kama vile wachezji wake mahiri 3 hawakuruhusiwa kucheza na preseason yao haikuwa ya kutoka kwa mashindano kama yale na timu kama ile. huna hoja. Sisi tumewasamehe wachezaji wote na viongozi wa Yanga kutokana na kufungwa na RIvers, kwani hata sisi tulijuwa kuwa itakuwa vigumu kuifunga timu ya nigeria kwa maandalizi hafifu kama yale.tunajua kitendo alichowafanyia river united hakitawaacha salama lazima mpate uchizi
Eti mwamedi anasema hatakubali kulipwa sawa na Yanga bila kuwa na takwimuUnapoongelea mpira wa Nchi hii unaiongelea Yanga. Takwimu hizo bado tunasuasua hatujarudi kwenye ubora wetu. Tukirudi si itakuwa balaa?
Mafanikio ya hivi karibuni ya watani wetu laiti kama tungekuwa ndio sisi tungeshabeba taji la klabu bingwa Afrika!
Yule kocha wa TP Mazembe hakukosea, Yanga ndio timu kubwa ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Kama huna takwimu unaweza kujisemea chochote, na kujisemea chochote ni kuropoka.
Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka tu kulifurahisha kundi lake na kupunguza sonona yake.
Pamoja na Yanga kutofanya vizuri kwa misimu minne mfululizo lakini ukubwa wake haujatetereka, takwimu za bodi ya ligi zimethibitisha ukweli ambao ulikuwa unafichwa kwa kutumia fedha.
Tutajua panapovuja tar 25 utopolo jiandaeni kisaikolojiaKama huna takwimu unaweza kujisemea chochote, na kujisemea chochote ni kuropoka.
Kila aliyesema Simba ni kubwa kuliko Yanga aliropoka tu kulifurahisha kundi lake na kupunguza sonona yake.
Pamoja na Yanga kutofanya vizuri kwa misimu minne mfululizo lakini ukubwa wake haujatetereka, takwimu za bodi ya ligi zimethibitisha ukweli ambao ulikuwa unafichwa kwa kutumia fedha.
hizo sababu zako hazina msingi ratiba ilishatoka toka mwezi wa sita tunawajua nyie ni mabingwa wa vijisababu ukitaka kujua ukubwa wa simba waulize caf kwanini simba hawakuanza hatua ya awali ya mashindanoHaaa, sio kweli, hata Simba kamili walifanywa hivyohivyo na UD Songo, kwani simba waliingia uchizi kwaajili ya hiyo? Yanga hawawezi kuingia uchizi kwakuwa sababu za kufungwa wanazo za ukweli kabisa kama vile wachezji wake mahiri 3 hawakuruhusiwa kucheza na preseason yao haikuwa ya kutoka kwa mashindano kama yale na timu kama ile. huna hoja. Sisi tumewasamehe wachezaji wote na viongozi wa Yanga kutokana na kufungwa na RIvers, kwani hata sisi tulijuwa kuwa itakuwa vigumu kuifunga timu ya nigeria kwa maandalizi hafifu kama yale.
Yanga ina jengo lenye nafasi ambalo wananchi wanaweza kutumia kwa mikutano, kutia ubani, kuuza na kununua jezi na tiketi, parking ya magari vyumba vya kulala wachezaji na ofisiUmeangalia kwenye nyanja ipi? Ukubwa wa timu unapimwa kwenye mafanikio, miundo mbinu je umeangalia kipengere gani?
vijiweni wanasema eti kuna tofauti ya tajiri na msimamizi wa mali za familia.Eti mwamedi anasema hatakubali kulipwa sawa na Yanga bila kuwa na takwimu
Timu ya wananchiUnapoongelea mpira wa Nchi hii unaiongelea Yanga. Takwimu hizo bado tunasuasua hatujarudi kwenye ubora wetu. Tukirudi si itakuwa balaa?
Mafanikio ya hivi karibuni ya watani wetu laiti kama tungekuwa ndio sisi tungeshabeba taji la klabu bingwa Afrika!
Yule kocha wa TP Mazembe hakukosea, Yanga ndio timu kubwa ukanda huu wa Afrika Mashariki.
Simba pale msimbazi hata hapaelewekiYanga ina jengo lenye nafasi ambalo wananchi wanaweza kutumia kwa mikutano, kutia ubani, kuuza na kununua jezi na tiketi, parking ya magari vyumba vya kulala wachezaji na ofisi
kawageuza mashabiki wake wote kuwa ng'ombe, kila siku MOO, MOO, MOO, MOOMsimamizi wa mali huwa anajali sana hasara. ndiyo maana jezi inajaa makolokolo ya ukoo na bado analalamika kupata hasara
Kama hiyo ni kweli basi Yanga wangegomea kwenda viwanjani kuiangalia timu yake. Yanga ni wanamichezo halisi, hawaoni aibu kuichangia timu yao kwa kutembeza bakuli. huwezi kumkataa mwanao kwasababu ana upele. Simba bila mwamedi ingeshashuka daraja.Ukiachana na mashabiki wa Arsenal ambao timu yao imeanza kufanya vizuri sasa hivi.Nadhani mashabiki wa Uto ndio wanafuata kwa mashabiki ambao dunia inabidi iwatizame kwa jicho la karibu.Mtu kujinyonga ni jambo la kawaida.Nadhani TFF msimu unaonza wa ligi kuu basi ikiwapendeza waunde kamati ya kutoa faraja kwa mashabiki wa Uto.