Kila anachoomba anapewa lakini hataki kutoa penzi

Nilikuwa na demu wangu namla vizuri tu ila kwa kuvutana sana tukaja tukachuniana kama mienz mitatu hv tukaanza tena mahusiano kila nikitaka mzigo kona nyingi .....nakuja kusikia kwa watu ana mimba kubwa ya mienz saba.....hahahaha we H Mungu anakuona.

Nasikitika single mama mwingine kaongezeka maana nasikia mwana hasomeki huko.
 
...
 

Attachments

  • Screenshot_20240808-212252~2.jpg
    19.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240808-212304.jpg
    24.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240808-212314.jpg
    22.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240808-212323.jpg
    46.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240808-212341.jpg
    27.7 KB · Views: 3
  • Screenshot_20240808-212349.jpg
    40 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240808-212359.jpg
    32.7 KB · Views: 3
Miezi 7 na hamna mzigo na mara nyingi wanaonana! Terrible, iko hv huyo manzi kuna mahali anaendaga kunyanduliwa na istoshe ni km anamchora jamaa yako yn anamuona kbs huyu yupo kiganjani hana ujanja.

Kitu cha kufanya ni kujiweka tu pembeni kimyakimya akaze moyo alie pekee yake ndani, alie kdg tu yn chozi likidondoka anyamaze kisha afute namba, anywe maji ya kwenda kisha atulie na maish yke hadi sku atapata mtu mwngne.
 
'Kumnyima' huwa ni kanuni ama msg nzuri sana kutumiwa na mwanamke ili kujipa thamani na kumfanya jamaa apate muda wa kujitafakari.

Kutongozana na kufanya mapenzi ni ufuska.

Huyo 'jamaa yako' alikuwa na malengo gani kwa mwanamke huyo?

Kama alitongoza ili baadaye aoe kabisa, ni bora kanyimwa, atapewa muda ukiwadia aache papara, kwanini anataka kuijua siri ya mtungi wakati yeye siyo 'kata'?

Lakini kama alitongoza kwa ajili ya mambo yetu yale, mwambie wala usimfiche kuwa ni bwege, atahongaje kijinga jinga namna hiyo bila faida?

Kuhonga kwa kulainisha huwaga ni mara moja tu, ya pili lazima uwe umekwisha kula na kusaza!
 
Unafikiri yana ushauri sasa🤣🤣🤣
Mpaka mwenyewe utakapoamua kufanya maamuzi.
 
Mwambie aende akajiangalie kwenye kioo alafu amwambie Yule jamaa wa kwenye kioo huo upumbavu anaoufanya.
Hakika jibu atalipata hapo kwenye kioo.
 
Una uhakika hii issue ni ya jamaa yako na sio wewe mwenyewe?
 
Kuna manzi ya kilokole ilinifanyiaga huu utapeli nikapita na best yake mamaee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…