MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wewe jamaa ni real definition ya SIMP
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
'Kumnyima' huwa ni kanuni ama msg nzuri sana kutumiwa na mwanamke ili kujipa thamani na kumfanya jamaa apate muda wa kujitafakari.Kuna rafiki yangu kanilalamikia sana leo, anasema ana mwanamke alimtongoza na wana miezi kama saba hivi.
Kila akimpanga kuja geto anatafuta visingizio ila jamaa anajitoa sana kwa mwanamke, akiomba pesa anapewa, akiomba pesa ya kusuka anapewa, jamaa akiomba waonane wanaonana sehemu kama kwenye migahawa ila akigusia tu kupewa mzigo mwanamke anatafuta sababu na siku hiyo hatatoka kabisa au atafute kaugomvi ili siku ipite.
Pia soma: Uhusiano wa pesa na sex kwenye mahusiano ya kimapenzi
Sasa jamaa kaja kuniuliza kwamba huyu mwanamke atakuwa anampenda kweli? Ananiambia kwenye simu ame seviwa "my favorite❤".
Kwakweli mimi nimeshindwa kumwambia kitu chochote maana mimi pia nina majanga yangu sija yapatia ufumbuzi, jamaa akitaka kumuacha mwanamke anakuwa mgumu kumuachia jamaa
Mwambie aende akajiangalie kwenye kioo alafu amwambie Yule jamaa wa kwenye kioo huo upumbavu anaoufanya.Kuna rafiki yangu kanilalamikia sana leo, anasema ana mwanamke alimtongoza na wana miezi kama saba hivi.
Kila akimpanga kuja geto anatafuta visingizio ila jamaa anajitoa sana kwa mwanamke, akiomba pesa anapewa, akiomba pesa ya kusuka anapewa, jamaa akiomba waonane wanaonana sehemu kama kwenye migahawa ila akigusia tu kupewa mzigo mwanamke anatafuta sababu na siku hiyo hatatoka kabisa au atafute kaugomvi ili siku ipite.
Pia soma: Uhusiano wa pesa na sex kwenye mahusiano ya kimapenzi
Sasa jamaa kaja kuniuliza kwamba huyu mwanamke atakuwa anampenda kweli? Ananiambia kwenye simu ame seviwa "my favorite❤".
Kwakweli mimi nimeshindwa kumwambia kitu chochote maana mimi pia nina majanga yangu sija yapatia ufumbuzi, jamaa akitaka kumuacha mwanamke anakuwa mgumu kumuachia jamaa
Huenda wana uhusiano wa kisiasa tu hawa.Kwahiyo hayo mahusiano yao yanahusiana na nn??