Kila anayefanya mahojiano wasafi fm/tv kwanini aulizwe kuhusu Diamond?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Sijajua ni woga wa watangazaji ama mbinu za kumfanya aendelee
Kuwa vinywani
Mwa watu?ooh unamuongeleaje diamond? Vipi mchango wa diamond kwenye mziki? Unaonaje anavyowakilisha kimataifa? Waacheni huru wanaohojiwa
 
hiyo kitu inakera sometimes, kuna siku jux alikuwa na interview block 89, maswali ni mbona nyimbo yako na diamond haipigwi clouds? jux akawa anajishtukia, mara ooh tumesikiliza albul review clouds hatukusikia wana review nyimbo uliyofanya na diamonds, sasa baada ya siku tatu akapewa interview clouds, maswali aliyoulizwa clouds ilifanya jamaa afunguke sana kuhusu mahusiano yake na kisa cha kuachana na vee, ile interview ilitrend sana. clouds wanajua sana kumu aploach msanii kwenye interview, hao wengine bado wanawafikilia clouds.
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani akiulizwa kuhusu diamond wewe kinakuuma Nini? Kwanini usianzishe redio yako ukauliza maswali unayotaka
 
Hio ndio sababu ya kupunguza makali ya kipindi,domo anataka atajwe tajwe kila kona ndani ya vipindi vya wasafi.

Ila jamaa wangekua wabunifu wakauliza maswali ya kiundani zaidi kipindi kingekuwa juu
 
Sio wasafi tu hata radio,Tv na hata online Tv nyingine huwa wanamzungumzi huyu jamaa kwenye interview zao hata clouds na Earadio kama n msikilizaji mzuri utagundua hlo japo huwa sio direct ko sio hajabu labda kama ww umewaona hao wasafi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…