Jibu konki sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu konki sana.
Kama Diamond anafananishwa na samatta ajabu iko wapi kwa wasanii wenzake kuulizwa kuhusu yeye ? kila msanii mnamlinganisha na Diamond sasa wakiulizwa hamtaki tenaSijajua ni woga wa watangazaji ama mbinu za kumfanya aendelee
Kuwa vinywani
Mwa watu?ooh unamuongeleaje diamond? Vipi mchango wa diamond kwenye mziki? Unaonaje anavyowakilisha kimataifa? Waacheni huru wanaohojiwa