Seo Kang Joon
Senior Member
- Jan 14, 2020
- 119
- 64
Mnachekesha Kwaio wakiulizwa kuhusu Diamond Platnumz kipindi hakipo juu?Hio ndio sababu ya kupunguza makali ya kipindi,domo anataka atajwe tajwe kila kona ndani ya vipindi vya wasafi.
Ila jamaa wangekua wabunifu wakauliza maswali ya kiundani zaidi kipindi kingekuwa juu
Ukizingatia Station yenyewe ndo kwanza inaanza.
Je ikikamilika si itakuwa zaidi ya maneno yenu haya.