Seo Kang Joon
Senior Member
- Jan 14, 2020
- 119
- 64
Mnachekesha Kwaio wakiulizwa kuhusu Diamond Platnumz kipindi hakipo juu?Hio ndio sababu ya kupunguza makali ya kipindi,domo anataka atajwe tajwe kila kona ndani ya vipindi vya wasafi.
Ila jamaa wangekua wabunifu wakauliza maswali ya kiundani zaidi kipindi kingekuwa juu
Mnachekesha Kwaio wakiulizwa kuhusu Diamond Platnumz kipindi hakipo juu?
Ukizingatia Station yenyewe ndo kwanza inaanza.
Je ikikamilika si itakuwa zaidi ya maneno yenu haya.
Maoni sio lazima yakubaliwe. Kila kampuni na utaratibu wao wa kiuendeshaji. Ndio maana kuna vision na mission. Halafu boss hanuniwi.Mkipewa maoni msiwe mnapanic. Soma comment uelewe sio kila msanii aulizwe kuhusu domo mbona kuna maswali mengi ya kipaparazi mazuri tu.
Sasa msanii anaulizwa kuhusu domo jibu lake linaangaliwa kama ni zuri au baya kisha maswali ya maana hayaendelei inabaki gossip nyepesi
Maoni sio lazima yakubaliwe. Kila kampuni na utaratibu wao wa kiuendeshaji. Ndio maana kuna vision na mission. Halafu boss hanuniwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nawe ni mmoja wa wale waliokua wanataka mil 5 kwa mwezi na Rav4..?
Kila post yako ni chuki dhidi ya Mondi
Hilo hata mimi nimeliona halafu mbaya zaidi taratibu TV na Redio yao inaanza kuwa ya wasafi tupu fatilieni mtaona
Sent using Jamii Forums mobile app
Clouds na Ea hakuna upuuzi kama huo..Sio wasafi tu hata radio,Tv na hata online Tv nyingine huwa wanamzungumzi huyu jamaa kwenye interview zao hata clouds na Earadio kama n msikilizaji mzuri utagundua hlo japo huwa sio direct ko sio hajabu labda kama ww umewaona hao wasafi tu
Wasafi ni mamamku sanasio lazma ufatiliy niya wasafi 100% hawana jipya eti yetu sote ni yetu my az .. shuhuli zote za kondeboy huwezi waona ..chuki mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Tabu unapata wewe juma lokole mwanaume mkata maunoWewe jamaa tumesha kushtukia...kwa taarifa yako mtapata taaabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maoni sio lazima yakubaliwe. Kila kampuni na utaratibu wao wa kiuendeshaji. Ndio maana kuna vision na mission. Halafu boss hanuniwi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiv we jamaa ujistukii kila Uzi wako lazima umbuliwe kwa chuki zako za kijinga Mara ulete udini Mara Nini mbona wewe hapa umemtaja Diamond.Kuna watu vilaza sana hao watu hata ukweli huhisi ni chuki
bora ungesema EA ila sio clouds 24/7 huwa nawasikiliza hawaClouds na Ea hakuna upuuzi kama huo..