MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Nimejikuta natafuta Israel kwenye hii ramani, inabidi uitafute sana tu yaani, majitu ya uarabuni yanatia aibu, halafu na huku Afrika kuna wavaa kanzu ambao wanapaswa kuitazama hii picha wajipige vibao vya uso, ni aibu sana kwa kweli, haileti mantiki, nashindwa nicheke, nilie au nihuzunike.
Na hapa Iran haijawekwa...
Ama kwa kweli Israel inalindwa na Mungu aishie, kajidhihirisha enzi zile na mpaka leo anajihidhirisha.
View: https://twitter.com/HilzFuld/status/1716363395442639096
brazaj hii inakuhusu na wenzako