Tunachotaka Israel ajibu mashambulizi badala ya hizi blaa blaa.Nimejikuta natafuta Israel kwenye hii ramani, inabidi uitafute sana tu yaani, majitu ya uarabuni yanatia aibu, halafu na huku Afrika kuna wavaa kanzu ambao wanapaswa kuitazama hii picha wajipige vibao vya uso, ni aibu sana kwa kweli, haileti mantiki, nashindwa nicheke, nilie au nihuzunike.
Na hapa Iran haijawekwa...
Ama kwa kweli Israel inalindwa na Mungu aishie, kajidhihirisha enzi zile na mpaka leo anajihidhirisha.
View: https://twitter.com/HilzFuld/status/1716363395442639096
brazaj hii inakuhusu na wenzako
huna akili wewe, Israel ni Marekani + washirika wao + vibaraka wao. ISRAEL kama yenyewe ilivyo haina nguvu yoyote ndio maana miezi 6 sasa wameshindwa kuwakomboa mateka wao kutoka kwa wanamgambo wa Hamas. Na humo kwenye kijani mote Marekani ana base zake .Nimejikuta natafuta Israel kwenye hii ramani, inabidi uitafute sana tu yaani, majitu ya uarabuni yanatia aibu, halafu na huku Afrika kuna wavaa kanzu ambao wanapaswa kuitazama hii picha wajipige vibao vya uso, ni aibu sana kwa kweli, haileti mantiki, nashindwa nicheke, nilie au nihuzunike.
Na hapa Iran haijawekwa...
Ama kwa kweli Israel inalindwa na Mungu aishie, kajidhihirisha enzi zile na mpaka leo anajihidhirisha.
View: https://twitter.com/HilzFuld/status/1716363395442639096
brazaj hii inakuhusu na wenzako
Super power ya googleHalafu sasa itafute hapa ndio uzidi kupata aibu
Tunachotaka Israel ajibu mashambulizi badala ya hizi blaa blaa.
Kichapo Cha juzi wamehangaika West nzima kujihami na hapo ni baada ya kupewa taarifa ya shambulizi 72hrs still wakashindwa Kuzuia makomboyna drone kutua huko.
This time Iran imesema haitatoa siku 12 Wala taafa Kwa mtu,itashusha mzigo og.
Wote wale wamejipendekeza tu mkuu, kwani Israel aliwaalika wakazuie?Tunachotaka Israel ajibu mashambulizi badala ya hizi blaa blaa.
Kichapo Cha juzi wamehangaika West nzima kujihami na hapo ni baada ya kupewa taarifa ya shambulizi 72hrs still wakashindwa Kuzuia makomboyna drone kutua huko.
This time Iran imesema haitatoa siku 12 Wala taafa Kwa mtu,itashusha mzigo og.
We sijui utakuwa kabila ngani huko Kenya au ni Ndugu yake Embalambamba na yule aliyeimba Yesu Ninyandue maana unapenda sana bifu na hawa wavaa Kobazi. ππππππ π€£πTusamehe tu maana ndio hivyo, huwa hata tunatukanwa moja kwa moja ila shobo ndio zetu
We nzi wa Kijana unashabikia vita ya Iran wakati vita na Mange tu kule Insta imewashinda?ππππ« πππTunachotaka Israel ajibu mashambulizi badala ya hizi blaa blaa.
Kichapo Cha juzi wamehangaika West nzima kujihami na hapo ni baada ya kupewa taarifa ya shambulizi 72hrs still wakashindwa Kuzuia makomboyna drone kutua huko.
This time Iran imesema haitatoa siku 12 Wala taafa Kwa mtu,itashusha mzigo og.
Mama Ngina amekula bongo za wakenya. 24/7 upo kwenye social media za Tanzania. Hivi lini mtaziondoa slums hapo Nairobi?Nimejikuta natafuta Israel kwenye hii ramani, inabidi uitafute sana tu yaani, majitu ya uarabuni yanatia aibu, halafu na huku Afrika kuna wavaa kanzu ambao wanapaswa kuitazama hii picha wajipige vibao vya uso, ni aibu sana kwa kweli, haileti mantiki, nashindwa nicheke, nilie au nihuzunike.
Na hapa Iran haijawekwa...
Ama kwa kweli Israel inalindwa na Mungu aishie, kajidhihirisha enzi zile na mpaka leo anajihidhirisha.
View: https://twitter.com/HilzFuld/status/1716363395442639096
brazaj hii inakuhusu na wenzako
Unategemea nini kama jedwari lenyewe la super power limetengenezwa na wenyewe Israel.Tunachotaka Israel ajibu mashambulizi badala ya hizi blaa blaa.
Kichapo Cha juzi wamehangaika West nzima kujihami na hapo ni baada ya kupewa taarifa ya shambulizi 72hrs still wakashindwa Kuzuia makomboyna drone kutua huko.
This time Iran imesema haitatoa siku 12 Wala taafa Kwa mtu,itashusha mzigo og.
Hizo eneo kwa vita sio Smart