Kila anayemwangalia Lissu kama kiongozi anapaswa kuelewa Lissu ni mwanaharakati

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
11,612
Reaction score
16,189
GTs,
Kila anayemwangalia Mheshimiwa Lisu kama kiongozi anapaswa kuelewa Lisu ni mwanahakati.

Hotuba zake, badala ya kuwa na mafunzo ya kujenga, zimejaa maneno ya kejeli, uwongo wa wazi, na uchochezi wa kutopenda kati ya wananchi wa kawaida na viongozi wa serikali.

Lakini swali kubwa ni hili:

Je, anawapa wananchi mwanga wa namna gani ya kuwatoa katika shida za chakula, bei za mafuta, na ajira? Hata kidogo, hajasema wazi au kutoa mpango wowote wa maana wa kukabiliana na hali ngumu ya kiuchumi.

Kweli, mashabiki wake wanapaswa kujiuliza kwa makini: Je, huyu ni kiongozi wa kweli au ni mtu anayetumia maneno matamu ili kuvuta watu kwa upande wake bila mradi halisi wa kuwasaidia?

Kwa misingi ya ukweli, inabidi tuwe makini na kuwa na ufahamu wa kutosha kabla ya kumtukuza mtu kwa maneno tu bila matendo.
 
GTs,
Kila anayemwangalia Mheshimiwa Lisu kama kiongozi anapaswa kuelewa Lisu ni mwanahakati. Hotuba zake, badala ya kuwa na mafunzo ya kujenga, zimejaa maneno ya kejeli, uwongo wa wazi, na uchochezi wa kutopenda kati ya wananchi wa kawaida na viongozi wa serikali.

Kweli, mashabiki wake wanapaswa kujiuliza kwa makini: Je, huyu ni kiongozi wa kweli au ni mtu anayetumia maneno matamu ili kuvuta watu kwa upande wake bila mradi halisi wa kuwasaidia? Kwa misingi ya ukweli, inabidi tuwe makini na kuwa na ufahamu wa kutosha kabla ya kumtukuza mtu kwa maneno tu bila matendo.
Tulishakubaliana turumbane kwa hoja siyo matusi,kinachowafanya mtukane ni bunduki zilizonunuliwa na kodi zetu,
sasa subiri Mungu aingilie kati ndo utajua nani taahira na nani mwenye akili.
uzuri ni kwamba sisimizi wanatafuna wote wenye akili na mataahira.
NO REFORMS NO ELECTION.
 
Lisu ni Dikteta na allknowing:

Anasema uchaguzi uhairishwe hadi kuwe na reform:
Anasema hivyo bila kuvishirikisha vyama vingine vya upinzani:

Mfano:
Chadema imeamua kuususia uchaguzi:
Vipi kuhusu vyama vingine:

Tuseme vikaamua kushiriki uchaguzi isipokuwa chadema, hapo hoja ya No reform no Election itakuwa na nguvu ipi:
Hata wafadhiri wataona kuwa chadema ni wakorofi tu:

Yaani nchi iache kufuata katiba kwa mtazamo wa chama kimoja tu cha upinzani:

Sijaona popote Lisu au Chadema wakifanya juhudi ya kuvishirikisha vyama vingine katika hoja yao:

Isipokuwa Lisu na Chadema yake:

Haya tufanye tumeahirisha uchaguzi ili kumwunga mkono Lisu tu na Chadema:
Hiyo reform itachukua mda gani ?
Hiki kipindi cha mpito serikali itaendeshwaje wakati muda wa uongozi wa raisi umeisha kikatiba:

Kama chadema itaendelea kuongozwa na watu kama Lisu itakufa haraka sana:

Vyama vingine vitafanya uchaguzi wakati Chadema pekee wamesusa:
Hapo ndio mwisho wa Chadema
 
Hivyo vyama unavyosema ni CCM B...
Hata Freeman hakuwa committed.....anajulikana...
Una lingine?
 
GTs,
Kila anayemwangalia Mheshimiwa Lisu kama kiongozi anapaswa kuelewa Lisu ni mwanahakati. Hotuba zake, badala ya kuwa na mafunzo ya kujenga, zimejaa maneno ya kejeli, uwongo wa wazi, na uchochezi wa kutopenda kati ya wananchi wa kawaida na viongozi wa serikali.

Lakini swali kubwa ni hili:

Je, anawapa wananchi mwanga wa namna gani ya kuwatoa katika shida za chakula, bei za mafuta, na ajira? Hata kidogo, hajasema wazi au kutoa mpango wowote wa maana wa kukabiliana na hali ngumu ya kiuchumi.

Kweli, mashabiki wake wanapaswa kujiuliza kwa makini: Je, huyu ni kiongozi wa kweli au ni mtu anayetumia maneno matamu ili kuvuta watu kwa upande wake bila mradi halisi wa kuwasaidia? Kwa misingi ya ukweli, inabidi tuwe makini na kuwa na ufahamu wa kutosha kabla ya kumtukuza mtu kwa maneno tu bila matendo.

Kwani huoni jinsi Makaa ya mawe yanavyobebwa usiku na mchana kwenda Kenya ?
Umewahi kujua ni magari ya nani yanayobeba hayo makaa ?

Je,tangu yule alipoenda kuweka huo mkataba na Ruto kule kenya miaka mitatu sasa yamekwenda matani mangapi ?

Je, pesa za kuweka mabango nchi nzima zinagharamiwa na chama au matajiri ?
Je, ni uongo kuwa uchaguzi Tanzania ni kama vita au mnataka mpaka nani afe ndio mjue wanaua watu na kupiga watu wakati wa uchaguzi ?
Je, kauli mbiu ya ni reform no Election sio kauli ya chama ?

Kwa sababu nyie ni mashabiki maandazi na mashetani hamjui hata kukaa gerezani ni mpango wa Mungu
?
Tunamjua Mungu tulishawaza kuwa itokee Muujiza Tundu Lisu akamatwe na kukaa gerezani ndipo mabadiliko yatakapo tokea.

Na Mtaona mwisho wake halafu Mtajua yupo Mungu wa Haki
 
IMG-20250410-WA0115.jpg
 
Mwone utakavyomwona ila jua sii chawa,hataki uchawa na atashoosha mafisadi na wezi wa box la kura
 
Kwani huoni jinsi Makaa ya mawe yanavyobebwa usiku na mchana kwenda Kenya ?
Umewahi kujua ni magari ya nani yanayobeba hayo makaa ?

Je,tangu yule alipoenda kuweka huo mkataba na Ruto kule kenya miaka mitatu sasa yamekwenda matani mangapi ?

Je, pesa za kuweka mabango nchi nzima zinagharamiwa na chama au matajiri ?
Je, ni uongo kuwa uchaguzi Tanzania ni kama vita au mnataka mpaka nani afe ndio mjue wanaua watu na kupiga watu wakati wa uchaguzi ?
Je, kauli mbiu ya ni reform no Election sio kauli ya chama ?

Kwa sababu nyie ni mashabiki maandazi na mashetani hamjui hata kukaa gerezani ni mpango wa Mungu
?
Tunamjua Mungu tulishawaza kuwa itokee Muujiza Tundu Lisu akamatwe na kukaa gerezani ndipo mabadiliko yatakapo tokea.

Na Mtaona mwisho wake halafu Mtajua yupo Mungu wa Haki
20250411_061245.jpg
 
Hivyo vyama unavyosema ni CCM B...
Hata Freeman hakuwa committed.....anajulikana...
Una lingine?
Una ushahidi gani kuwa vyama vingine ni CCM B ?
Kwahiyo nchi ifuate mapendekezo ya Chadema tu Basi:
Tuvunje mihimili mingine yote ili tuongozwe na Chadema.
Kukitokea sintofahamu Lisu atakimbilia Canada, wewe na mimi tutakimbilia wapi ?
 
GTs,
Kila anayemwangalia Mheshimiwa Lisu kama kiongozi anapaswa kuelewa Lisu ni mwanahakati. Hotuba zake, badala ya kuwa na mafunzo ya kujenga, zimejaa maneno ya kejeli, uwongo wa wazi, na uchochezi wa kutopenda kati ya wananchi wa kawaida na viongozi wa serikali.

Lakini swali kubwa ni hili:

Je, anawapa wananchi mwanga wa namna gani ya kuwatoa katika shida za chakula, bei za mafuta, na ajira? Hata kidogo, hajasema wazi au kutoa mpango wowote wa maana wa kukabiliana na hali ngumu ya kiuchumi.

Kweli, mashabiki wake wanapaswa kujiuliza kwa makini: Je, huyu ni kiongozi wa kweli au ni mtu anayetumia maneno matamu ili kuvuta watu kwa upande wake bila mradi halisi wa kuwasaidia? Kwa misingi ya ukweli, inabidi tuwe makini na kuwa na ufahamu wa kutosha kabla ya kumtukuza mtu kwa maneno tu bila matendo.
Kampeni tayar hadi atoe ahadi hizo?

Yeye ana serikali hadi afanye hayo ulioorodhesha afanye?
 
Lissu ni liability kwa CDM, watakuja kugundua baadae sana
Sasa kama ni liability ma ccm sindio mfurahi...mnachukia tena?!

Uchawa ni laana, muombe Mungu wanao wasirithi hii tabia...hata vitabu vya Mungu vinakataza binaadam kumtegemea binaadam mwenzie kuishi!
 
Mleta hoja unaamini kwamba hata juhudi zilizoleta uhuru zilikuwa ni hicho unachoita harakati? Wale vijana wa zamani wasingeendesha harakati za kudai uhuru wewe leo sijui ungekuwaje. Hivyo, harakati kwa jambo sahihi ni sahihi pia.
 
GTs,
Kila anayemwangalia Mheshimiwa Lisu kama kiongozi anapaswa kuelewa Lisu ni mwanahakati. Hotuba zake, badala ya kuwa na mafunzo ya kujenga, zimejaa maneno ya kejeli, uwongo wa wazi, na uchochezi wa kutopenda kati ya wananchi wa kawaida na viongozi wa serikali.

Lakini swali kubwa ni hili:

Je, anawapa wananchi mwanga wa namna gani ya kuwatoa katika shida za chakula, bei za mafuta, na ajira? Hata kidogo, hajasema wazi au kutoa mpango wowote wa maana wa kukabiliana na hali ngumu ya kiuchumi.

Kweli, mashabiki wake wanapaswa kujiuliza kwa makini: Je, huyu ni kiongozi wa kweli au ni mtu anayetumia maneno matamu ili kuvuta watu kwa upande wake bila mradi halisi wa kuwasaidia? Kwa misingi ya ukweli, inabidi tuwe makini na kuwa na ufahamu wa kutosha kabla ya kumtukuza mtu kwa maneno tu bila matendo.

Kwani wewe ni yupi kwenye orodha hii?

1744224725751.png

Kumbuka ma CCM yamo na vijana wa hovyo wapenda nyama na pombe za bure pia nao wamo!
 
GTs,
Kila anayemwangalia Mheshimiwa Lisu kama kiongozi anapaswa kuelewa Lisu ni mwanahakati.

Hotuba zake, badala ya kuwa na mafunzo ya kujenga, zimejaa maneno ya kejeli, uwongo wa wazi, na uchochezi wa kutopenda kati ya wananchi wa kawaida na viongozi wa serikali.

Lakini swali kubwa ni hili:

Je, anawapa wananchi mwanga wa namna gani ya kuwatoa katika shida za chakula, bei za mafuta, na ajira? Hata kidogo, hajasema wazi au kutoa mpango wowote wa maana wa kukabiliana na hali ngumu ya kiuchumi.

Kweli, mashabiki wake wanapaswa kujiuliza kwa makini: Je, huyu ni kiongozi wa kweli au ni mtu anayetumia maneno matamu ili kuvuta watu kwa upande wake bila mradi halisi wa kuwasaidia?

Kwa misingi ya ukweli, inabidi tuwe makini na kuwa na ufahamu wa kutosha kabla ya kumtukuza mtu kwa maneno tu bila matendo.

Katiba nzuri ITATOSHA. Serikali ya CCM ipo tangu uhuru, huo ugumu wa uchumi umewashinda mnataka Lisu aje kuwasaidia?
 
GTs,
Kila anayemwangalia Mheshimiwa Lisu kama kiongozi anapaswa kuelewa Lisu ni mwanahakati.

Hotuba zake, badala ya kuwa na mafunzo ya kujenga, zimejaa maneno ya kejeli, uwongo wa wazi, na uchochezi wa kutopenda kati ya wananchi wa kawaida na viongozi wa serikali.

Lakini swali kubwa ni hili:

Je, anawapa wananchi mwanga wa namna gani ya kuwatoa katika shida za chakula, bei za mafuta, na ajira? Hata kidogo, hajasema wazi au kutoa mpango wowote wa maana wa kukabiliana na hali ngumu ya kiuchumi.

Kweli, mashabiki wake wanapaswa kujiuliza kwa makini: Je, huyu ni kiongozi wa kweli au ni mtu anayetumia maneno matamu ili kuvuta watu kwa upande wake bila mradi halisi wa kuwasaidia?

Kwa misingi ya ukweli, inabidi tuwe makini na kuwa na ufahamu wa kutosha kabla ya kumtukuza mtu kwa maneno tu bila matendo.
Na sisi ndiyo tunamtaka sasa huyo mwanaharakati. Muda wa kuwakumbatia wanadiplomasia wachumia tumbo, umepita.
 
Back
Top Bottom